Makao Makuu Jeshi la Polisi walipomtembelea Lema

Na kama Lema angegoma kutoka huenda wangetumia nguvu kumtoa. Hii nchi ni ya ajabu sana! Jamaa hawatumii akili hata kidogo!
 
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.

Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa
,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?

Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?
CHEAP popularity.
 
Back
Top Bottom