Makao Makuu Jeshi la Polisi walipomtembelea Lema

Naona mmeamua kudanganyana mnajifariji na kujiliwaza..Polisi hawana muda huo kwani nani kampeleka Lema Mahabusu?
 
Naona mmeamua kudanganyana mnajifariji na kujiliwaza..Polisi hawana muda huo kwani nani kampeleka Lema Mahabusu?

mzee wa ubwabwa leo umepata hata mda wakupitia magaze au kazi ilikuwa ni moja pilipili za kutosha kwenye kanzu na kuzungukia ndugu na jamaa
 
lema kama mandela na kesho tutampokea kama mfalme wa amani
Yani tunampokea kama mshindi wa MEDALI wa FEDHA na SHABA na kama ni mbaya na acha iwe labda tufungiwe kesho wapiga kura kesho tusitoke majumbani Wallaah!!
 
mzee wa ubwabwa leo umepata hata mda wakupitia magaze au kazi ilikuwa ni moja pilipili za kutosha kwenye kanzu na kuzungukia ndugu na jamaa

Natafuta nyumba ya kupanga Arusha..wewe si dalali nitafutie takupoza najua una njaa sana
 
Lema ni hatari kama RTLM ya jirani z2,dont expect more from this guy!mchonganishi wa amani,be creative 2pe cha kufanya cku2shawish kufanya ya kipimbi,cdm ni tegemeo l2 c hilo wazo lako mkb

cjakupata unamaanisha nini
 
Ccm na police wenu hamfikirii kabla ya kutenda mngefikiria hayo tangia mwanzo msingehangaika kama hivi mnavyotumia nguvu ya ziada kumkomvisi
 
Mkuuu ongera kwa kuliona hilo.
Sijuuu sasa polisi watamtisha nanini kama mahabusu kakaa,selo za polisi kakaa siwelewi polisi watakuja na njiaa gani sasa.?

nadhani wanaweza hata kumvuzia na kumpiga risasi waseme kuwa walidhani ni jambazi sugu kama walivyomfanya yule jamaa aliyekuwa usalama wa taifa
 
Naona mmeamua kudanganyana mnajifariji na kujiliwaza..Polisi hawana muda huo kwani nani kampeleka Lema Mahabusu?
mkuu unataka mpaka uwekewe picha za kivuyo,siro na leonard walivyenda kisongo??
 
By the way huyu Prince nani siju ni nani? Nachoshukuru wanatambua kuwa kuwepo kwa Lema ndani ni hatari kwao...huyu kamanda ni hatari kwa ujinga wa CCM anawachachafya sana...
.......ni R1 wa kule kwa mashoga
 
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.

Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa
,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?

Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?

Mkuu siku zote nimekuwa napatashida sana kuiangali picha yako ya utambulisho hapo kushoto, sio siri mimi binafsi huwa inaniumiza roho sana maana nina mtoto wa kike pia hivyo ninachokiona hapo huyo mtoto amebebeshwa mtoto mwezie ambaye nahisi na kwa muonekeno tu ni kama wanalingana uzito hivyo anaumia. Unaweza kuibadili ukanipunguzia homa ya huruma kwa malaika huyu? Aliyemfanyia hivi sitegemei kama alikuwa ni mama yake mzazi nahisi ni mtu mwingine tu mwenye roho mbaya sana! It is so painful
 
Naona mmeamua kudanganyana mnajifariji na kujiliwaza..Polisi hawana muda huo kwani nani kampeleka Lema Mahabusu?
Makamishina Waliomtembelea Lema ni Peter Kivuyo, Simon Siro na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, Leonard Paul.
source mwananchi jumapili
 
Naomba nirudie hapa: Arusha KUNA JAMBO tena nzito kupita kiasi.

It is more of a possible TURNING POINT to change our socio-political and economic landscape once and for all to ashame the devil and its malevolent agents sooner than late. Labda wakamiaji roho za malaika ziwafike mapema iwezekanavyo.

Wenye kusinzia heri yao!!!!!!!!
 
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.

Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa
,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?

Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?

Siku zote wanasema kuna haki za binadamu na utawala wa sheria chini ya JK .Mimi nadhani Chadema waendelee na siasa tu hata huyu Price Charles ajionee mwenyewe badala ya kuficha ficha uozo.Acha watu waingie mitaani kumwambie Prince kwamba kuna uharamia wa kisiasa Tanzania .

watu wengi wanachukulia uamuzi wa Lema kwenda jela kwa hiari ni uamuzi wa kipuuzi lakini kwa mtu anaefuatilia na anaefahamu mchezo wa uchangaji kete za kisiasa jamaa sio mjinga, ana sababu ambayo huenda hawa jamaa nao wameshagundua.

By the way, Lema has made that move at such a perfect timing......Very Strategic.......Jamaa kwa kweli ana akili na ni muhimu hili watu wa Polisi na Usalama waliangalie bila kupuuzia......Arusha sio pa mchezo na Lema anajua hilo

Cathode Ray,

Binafsi nakuelewa. Nafikiri Ujumbe wa Lema hakujaa Ujinga! Soma kwa undani hapa na TUTAFAKARI pamoja!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/189616-mbowe-atikisa-gereza-la-lema-8.html

... na

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/189616-mbowe-atikisa-gereza-la-lema-9.html
 
Back
Top Bottom