Makamu wa Rais

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
habari zenu jaman, hivi kazi ya makamu wa Rais ni ipi?? Maana naona jamaa kila kukicha anazindua mara shule,mara hospital mpaka baadhi ya wadau wanasema eti anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya kukata utepe! Jion njema
 
Back
Top Bottom