MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,262
- 1,220
Kumbe we MzambiaWatajiju na nchi yao!
Kumbe we MzambiaWatajiju na nchi yao!
Kwani anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na NEC?Thubutu akagombee Zanzibar wakati yeye ni surat Nissaah nani atamchagua, yeye mwenyewe anajua hilo.
Baada ya page 9, inawezekana jibu limeshatolewa, ila siyo vibaya kama nitalirudia. Katika itifaki ya cabinet ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar ni nafasi ya nne baada ya Rais wa Muungano, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kama ambavyo Katiba inavyoonyesha hapa.Hii kauli ya Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia Suluhu imenifikirisha kidogo.
Amesema hana nia ya kugombea Urais Zanzibar kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kugombea nafasi ya 3 wakati kwa ngazi za uongozi, yeye ni nafasi ya 2 Tanzania.
Imenifikirisha kwa sababu sikuwa nafahamu kuwa Rais wa Zanzibar ni nafasi ya 3 kiserikali. Yaani baada ya Rais, anakuja Makamu wa Rais, kisha Rais wa Zanzibar?
Mnaoelewa masuala ya itifaki naomba ufafanuzi wenu.
======
SAMIA SULUHU: SINA NIA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hana nia ya kugombea Urais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na maneno yanayoenea ni ya uongo
Amesema “Ukiangalia ngazi za uongozi ndani ya Tanzania, mimi ni namba mbili ndani ya Tanzania. Sina kishawishi chochote kitakachonifanya nije huku niwe namba tatu. Sina!”
Aidha, ameongeza kuwa “Nimeona nisemee huku kwetu nilikotoka kwasababu maneno yamekuwa mengi, chuki zimekuwa nyingi, ufisadi na majungu.”
View attachment 1191709
Inawezekana hii ni protocol ceremonial tu lakini kikatiba ni kama nilivyoonyesha hapo juu. Rais wa Zanzibar ni nafasi ya nne, na hata hawezi kuendesha mikutano ya Cabinet kama Rais, Makamu wa Rais, na Waziri Mkuu hawapo.Ni kweli, hata siku kukiwa na msafara wa viongozi angalia plate number.
Rais - E1
Makamu wa Rais - E2
Rais wa Zanzibar - E3
Waziri Mkuu - E4
Kuongoza watu mil 50 na kuongoza watu mil 1 ni sawa? Hapa tanganyika, mkuu wa mkoa ni zaidi ya rais was zenji hata Rwanda na BurundiKwahiyo mzee Shein "alivyopelekwa" kule ilikua ni tamaa?
Na Ghalib Bilal "walivyomtrick" kumleta huku na kumpa kazi za kutembea na mkasi tu ilikua ni kumpandisha cheo?
Hii kauli ya Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia Suluhu imenifikirisha kidogo.
Amesema hana nia ya kugombea Urais Zanzibar kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kugombea nafasi ya 3 wakati kwa ngazi za uongozi, yeye ni nafasi ya 2 Tanzania.
Imenifikirisha kwa sababu sikuwa nafahamu kuwa Rais wa Zanzibar ni nafasi ya 3 kiserikali. Yaani baada ya Rais, anakuja Makamu wa Rais, kisha Rais wa Zanzibar?
Mnaoelewa masuala ya itifaki naomba ufafanuzi wenu.
======
SAMIA SULUHU: SINA NIA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hana nia ya kugombea Urais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na maneno yanayoenea ni ya uongo
Amesema “Ukiangalia ngazi za uongozi ndani ya Tanzania, mimi ni namba mbili ndani ya Tanzania. Sina kishawishi chochote kitakachonifanya nije huku niwe namba tatu. Sina!”
Aidha, ameongeza kuwa “Nimeona nisemee huku kwetu nilikotoka kwasababu maneno yamekuwa mengi, chuki zimekuwa nyingi, ufisadi na majungu.”
View attachment 1191709
Kuliko niwe makamu wa Rais Tz, ni bora niwe waziri wa nishati, nikipiga escrow moja tu, nastaafuHii kauli ya Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia Suluhu imenifikirisha kidogo.
Amesema hana nia ya kugombea Urais Zanzibar kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kugombea nafasi ya 3 wakati kwa ngazi za uongozi, yeye ni nafasi ya 2 Tanzania.
Imenifikirisha kwa sababu sikuwa nafahamu kuwa Rais wa Zanzibar ni nafasi ya 3 kiserikali. Yaani baada ya Rais, anakuja Makamu wa Rais, kisha Rais wa Zanzibar?
Mnaoelewa masuala ya itifaki naomba ufafanuzi wenu.
======
SAMIA SULUHU: SINA NIA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hana nia ya kugombea Urais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na maneno yanayoenea ni ya uongo
View attachment 1191709
Amesema “Ukiangalia ngazi za uongozi ndani ya Tanzania, mimi ni namba mbili ndani ya Tanzania. Sina kishawishi chochote kitakachonifanya nije huku niwe namba tatu. Sina!”
Aidha, ameongeza kuwa “Nimeona nisemee huku kwetu nilikotoka kwasababu maneno yamekuwa mengi, chuki zimekuwa nyingi, ufisadi na majungu.”
Acha kujidanganya kijana!Shika adabu yako ZANZIBAR nikubwa kuliko ww na Tangannyika nzima

Hivi kuna makamu ambaye amekata utepe kuliko huyo?
Acha propaganda !Kwahiyo mzee Shein "alivyopelekwa" kule ilikua ni tamaa?
Na Ghalib Bilal "walivyomtrick" kumleta huku na kumpa kazi za kutembea na mkasi tu ilikua ni kumpandisha cheo?
Tuifanye Kashmir kama IndiaZanziba ni koloni la Tanganyika
sasa ukubwa gani huo bila kuwa na jeshi?Huwezi kuwa na power kama huna uwezo wa kuamrisha jeshi.Kwa sasa hivi Bashite ana nguvu kuliko raisi wa Zenji!Kwahiyo mzee Shein "alivyopelekwa" kule ilikua ni tamaa?
Na Ghalib Bilal "walivyomtrick" kumleta huku na kumpa kazi za kutembea na mkasi tu ilikua ni kumpandisha cheo?
Sasa mtoto wa mkulima alipataje ujasiri wa kusema Zanzibar sio nchi?Ni kweli, hata siku kukiwa na msafara wa viongozi angalia plate number.
Rais - E1, Makamu wa Rais - E2, Rais wa Zanzibar - E3, Waziri Mkuu - E4
We unadhani escrow unapiga peke yako ???..wale jamaa wa magogoni ndo wenyewe wanapiga mzigo mreeeefu halafu nyie mawaziri wanawaachia shilingi mbili tatuKuliko niwe makamu wa Rais Tz, ni bora niwe waziri wa nishati, nikipiga escrow moja tu, nastaafu