Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!

Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
 
Kipindi cha msukosuko kama huu natarajia kuona mchango wake lkn so far jamaa kimya!
Lkn najiuliza Mfano imetokea ajali kama ilivyotokea....je unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?

I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
 
Ulishawahi kumsikia kwanza akiongea sauti yake ? Mtaratibuuu, kuna sababu kwa nini alipewa hiyo nafasi na waliopanga timu!
 
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!

Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?

Huyu ndie aliyekuwa waziri wa fedha. Anajua kila kitu. Mipango yote.

Alikuwa na JPM. Infact alifanya kazi nzuri sana wakati akiwa waziri wa Fedha. Hatetei, hapingi chochote. Yupo kulinda kibarua chake.

Amekuwa makamu Rais amekua Bubu.
 
Back
Top Bottom