Makamu wa pili wa rais Zanzibar hatambuliki bungeni - Makinda

magazeti mengi ya leo yamesema spika wa bunge la tanzania amesema bunge halimtambui makamu wa pili wa rais zanzibar.

Vipi kuhusu makamu wa kwanza naye anatambulika ktk bunge hili la jamhuri? Kama hawatambuliki kwanini?

gazeti gani...naomba mwenye source tafadhali...
 
Usanii wa CCM kuwaingiza mkenge CUF. Hivi hiyo ya Zanzibar ni katiba au bylaws tu?

Nijuavyo mimi katiba katika nchi huwa ni moja tu...na Tanzania tuna katiba ya JMT tu...forget about usanii wa Zenj...Nyerere aliwafanyia usanii na mpaka leo wanaingizwa kwenye usanii tu. Anyway, jamii ya wala urojo iko kisanii sanii pia, bila usanii hawatakuelewa.
 
Honestly, rais wa Zanzibar mie namuona ni mdogo kicheo kuliko Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Idadi ya watu anaoongoza. Mie nawaonaga kama hawatumii akili kupunguza matumizi ya wawakilishi, wakuu wa mikoa yao ambayo ni midogo kuliko KATA za huku bara, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi.

Only watu wasiofikiri vema can bear all these costs. Kweli waafrika ndivyo tulivyo.

Zenji na pemba combined ni Ndogo kuliko Dar, hata kwa idadi ya watu. Sasa vyeo utitiri vinatoka wapi!?

Jamani tuweni wakweli.

Mkuu hii ni kweli kabisa, wana wawakilishi wa Baraza, wana wabunge wa MUUNGANO, MAWAZIRI, WAKUU WA WILAYA, yaani vyeo kibao, wanakula tu pesa ya mlipa kodi, wanabaki masikini halafu bado wanapiga kelele na maandamano mareeefu ya vurugu, kumbe umaskini mwingine ni ujinga na upumbavu wetu!
 
Ukiangalia kwa upande mwingine inachekesha, jinsi Maalimu na wenzake walivyolaghaiwa na bosheni ya matitle huku kumbe wanang'ongw'a visogo
 
Wazanzibari wanapenda mambo makubwa, sasa Huyo balozi Iddi Alitaka nini ati?
 
Kwani wabunge toka Zanzibar wanahudhuria vikao?Nilifikiri wanataka Nchi yao hivyo watagoma kuhudhuria vikao.Mh! Ama kweli pesa mwanaharamu.
 
Who is makinda by the way? hana mamlaka yoyote kisharia kujua mambo ya Znz kama nchi na wala kutengua chochote katika katiba ya nchi ya Znz.

Kelele zake ni za chooni tu na Zanzibar inaendelea kuwa nchi.

msingi mkuu ni kwa makamo wa Pili wa rais ni kutambulika ndani ya nchi yake Znz na kupewa hishma zote kama mmoja wa viongozi wa kuu waandamizi wa nchi ndani na nje ya nchi ya Znz na tanzania kijumla.

Hilo lipo wazi hata akija tanganyika anapokewa kama kiongozi mkuu kw kupewa ulinzi stahiki na ving'ora kibao akipita barabarani.

sasa msitiwe shaka na makinda kwani ana kijiba cha roho ambacho soon kitamtokea puani.
 
Honestly, rais wa Zanzibar mie namuona ni mdogo kicheo kuliko Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Idadi ya watu anaoongoza. Mie nawaonaga kama hawatumii akili kupunguza matumizi ya wawakilishi, wakuu wa mikoa yao ambayo ni midogo kuliko KATA za huku bara, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi.

Only watu wasiofikiri vema can bear all these costs. Kweli waafrika ndivyo tulivyo.

Zenji na pemba combined ni Ndogo kuliko Dar, hata kwa idadi ya watu. Sasa vyeo utitiri vinatoka wapi!?

Jamani tuweni wakweli.

Bwana fairplay, uliisha wahi kujiuliza hiyo mishahara huwa wanatoa wapi? Subiri siku wakianza kujitegemea uone kama watakua na vyeo vya kijinga kama hivyo! Shida ni kua hiyo pesa haiwaumi because is not part of the Tax they are paying, it is coming from our pockets!
 
Who is makinda by the way? hana mamlaka yoyote kisharia kujua mambo ya Znz kama nchi na wala kutengua chochote katika katiba ya nchi ya Znz.

Kelele zake ni za chooni tu na Zanzibar inaendelea kuwa nchi.

msingi mkuu ni kwa makamo wa Pili wa rais ni kutambulika ndani ya nchi yake Znz na kupewa hishma zote kama mmoja wa viongozi wa kuu waandamizi wa nchi ndani na nje ya nchi ya Znz na tanzania kijumla.

Hilo lipo wazi hata akija tanganyika anapokewa kama kiongozi mkuu kw kupewa ulinzi stahiki na ving'ora kibao akipita barabarani.

sasa msitiwe shaka na makinda kwani ana kijiba cha roho ambacho soon kitamtokea puani.

Barubaru, issue hapo sio wivu au kijiba cha roho, katika ya jamuhuri inamtambua huyu mtu, mi naenda mbali zaidi, kwani hata maalim Seif naye katiba ya jamuhuri inamtambua? ukweli kupigiwa ving'ora na heshima nyinginezo sio kwasababu ya katiba, kwani hujawahi sikia hata First lady pamoja na kijana wao nao huwa wanapokea report za maendeleo wakija mikoani? still katiba bado haiwatambui, tujifunze kukubali ukweli hata kama unauma!
 
honestly, rais wa zanzibar mie namuona ni mdogo kicheo kuliko mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Idadi ya watu anaoongoza. Mie nawaonaga kama hawatumii akili kupunguza matumizi ya wawakilishi, wakuu wa mikoa yao ambayo ni midogo kuliko kata za huku bara, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi.

Only watu wasiofikiri vema can bear all these costs. Kweli waafrika ndivyo tulivyo.

Zenji na pemba combined ni ndogo kuliko dar, hata kwa idadi ya watu. Sasa vyeo utitiri vinatoka wapi!?

Jamani tuweni wakweli.

kuna uhalisia kiasi chake hiki ulichokiongea
ngoja nizid kutafakari
 
Who is makinda by the way? hana mamlaka yoyote kisharia kujua mambo ya Znz kama nchi na wala kutengua chochote katika katiba ya nchi ya Znz.

Kelele zake ni za chooni tu na Zanzibar inaendelea kuwa nchi.

msingi mkuu ni kwa makamo wa Pili wa rais ni kutambulika ndani ya nchi yake Znz na kupewa hishma zote kama mmoja wa viongozi wa kuu waandamizi wa nchi ndani na nje ya nchi ya Znz na tanzania kijumla.

Hilo lipo wazi hata akija tanganyika anapokewa kama kiongozi mkuu kw kupewa ulinzi stahiki na ving'ora kibao akipita barabarani.

sasa msitiwe shaka na makinda kwani ana kijiba cha roho ambacho soon kitamtokea puani.

:confused2:
 
Ingawa ni kweli, lakini kauli hii isingetolewa kwa sasa, kutokana na hali tete ya kisiasa nchini!

Misimamo kama huu wa mpiga kelele ndio umeufikisha huu unaoitwa muungano hapa ulipo. Vitu vya kweli havisemwi kwa sababu za kufikirika zinazofichwa kwenye lugha tata za kisiasa kama hii ya "hali tete". Nakumbuka Aboud Jumbe alifikuzwa kwenye uraisi kwa lugha ya "kuchafuka kwa hali ya kisiasa".
 
:behindsofa:

Who is makinda by the way? hana mamlaka yoyote kisharia kujua mambo ya Znz kama nchi na wala kutengua chochote katika katiba ya nchi ya Znz.

Kelele zake ni za chooni tu na Zanzibar inaendelea kuwa nchi.

msingi mkuu ni kwa makamo wa Pili wa rais ni kutambulika ndani ya nchi yake Znz na kupewa hishma zote kama mmoja wa viongozi wa kuu waandamizi wa nchi ndani na nje ya nchi ya Znz na tanzania kijumla.

Hilo lipo wazi hata akija tanganyika anapokewa kama kiongozi mkuu kw kupewa ulinzi stahiki na ving'ora kibao akipita barabarani.

sasa msitiwe shaka na makinda kwani ana kijiba cha roho ambacho soon kitamtokea puani.
 
Honestly, rais wa Zanzibar mie namuona ni mdogo kicheo kuliko Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Idadi ya watu anaoongoza. Mie nawaonaga kama hawatumii akili kupunguza matumizi ya wawakilishi, wakuu wa mikoa yao ambayo ni midogo kuliko KATA za huku bara, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi.

Only watu wasiofikiri vema can bear all these costs. Kweli waafrika ndivyo tulivyo.

Zenji na pemba combined ni Ndogo kuliko Dar, hata kwa idadi ya watu. Sasa vyeo utitiri vinatoka wapi!?

Jamani tuweni wakweli.

mtu anae ifananisha zanzibar na mkoa au wilaya hakika hajafika zanzibar. Auone kama ile inahadhi ya wilaya
 
hapa tunaona ukiukwaji wa katiba tuliona mh,mrema enzi zile akipewa cheo naibu waziri mkuu kumbe kikatiba cheo hicho hakipo ,hivyo hivyo leo makamu wa rais wa pili hatambuliki .hela za kumlipa zinatoka wapi ,mh.mrema bado anadai kiinua mgongo chake tena anadai akiwa jukwaani.hukko zenji hali itakuwaje baadae kiinua mgongo cha makamu wa rais atalipwaje
 
Honestly, rais wa Zanzibar mie namuona ni mdogo kicheo kuliko Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Idadi ya watu anaoongoza. Mie nawaonaga kama hawatumii akili kupunguza matumizi ya wawakilishi, wakuu wa mikoa yao ambayo ni midogo kuliko KATA za huku bara, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi.

Only watu wasiofikiri vema can bear all these costs. Kweli waafrika ndivyo tulivyo.

Zenji na pemba combined ni Ndogo kuliko Dar, hata kwa idadi ya watu. Sasa vyeo utitiri vinatoka wapi!?

Jamani tuweni wakweli.

Cheo na mamlaka ya mtu hayategemei idadi ya watu au ukubwa wa eneo analoongoza, muhimu ni hayo mamlaka kayapat kwa ridhaa ya nani na yapo kihalali kiasi gani. Kwa Zanzibar haijalishi ina watu kiasi gani au ukubwa wake, Zanzibar kimamlaka ni nchi kamili na so nchi kiongozi wake ana hadhi sawa tu na rais yoyote yule maana kama alivyo JK anauwezo wa kuvunja baraza la wawakilishi, ana bendera ya ikulu, wimbo wa taifa na amri jeshi wa vikosi vya jeshi zanziabr so si haki kumringanisha na Meck Sadick wa Dar asiye hata na body guard!
 
Barubaru, issue hapo sio wivu au kijiba cha roho, katika ya jamuhuri inamtambua huyu mtu, mi naenda mbali zaidi, kwani hata maalim Seif naye katiba ya jamuhuri inamtambua? ukweli kupigiwa ving'ora na heshima nyinginezo sio kwasababu ya katiba, kwani hujawahi sikia hata First lady pamoja na kijana wao nao huwa wanapokea report za maendeleo wakija mikoani? still katiba bado haiwatambui, tujifunze kukubali ukweli hata kama unauma!

Mazindu M.

Nafikiri ujanisoma vizuri nilichobainisha, Nakuomba kwa ihsani yako nisome vizuri kwa nia ya kunielewa na pasi na shaka utanielewa tu.

Hakika rais ni taasisi inayokuwepo kwa mujibu wa sharia za nchi husika na wateule wa Rais wanawekw kwa mujibu wa nchi husika na sio nchi jirani au nyingine.

makamo wa Rais na makamo wa pili wa rais zanzibar wamechaguliwa kisharia kabisa kwa mujibu wa sharia za Znz zilizopitishwa na kukubalika na watu wa Znz na wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sharia za Znz.

makinda hana mamlaka yoyote kisharia kuhoji au hata ku comment chochote kilichomo katika katiba ya Znz. Hilo ni suala la waZnz wenyewe.

mama ana kijiba cha Roho tu na ndio maana anenepi hata senti mita moja.

Mpeni Pole sana.

Maalim Seif anakunywa ghahawa tu ikulu pale Zenji kama bi mdogo wa Bwana CCM siyo?. CUF mlichemka vibaya sana.
Cheki sasa mme wenu anawakataa uhalali wenu, Seif katulia tuli anazeesha tu makochi ya ikulu. Hamad amelikemea hili la viongozi wenu kuhodhi madaraka mkamtimua anachafua kitumbua. CUF mlimalizwa kwa kupewa sofa la kukalia uani mwa ikulu ya Kisiwani Zanzibar.

CUF mpo??????????????????
 
Back
Top Bottom