Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Atakuwa kaagizwa kusaidia BRN
Hili mbona hata Kawambwa analifahamu! Juzi katamba kwamba mwaka matokeo ya form four yatatisha! BRN on the making!
Atakuwa kaagizwa kusaidia BRN
Taarifa zizotufikia hivi punde zinasema makamu mkuu wa shule ya Sekondari Embarway amekamatwa akiwafanyia mtihani wanafunzi wa kidato cha nne. Taarifa za uwakika toka kwa Afisa mmja wa elimu wilaya ya Ngorororo mkoani Arusha zimedhibitisha kukamatwa kwa makamu na mwalimu mmoja( Majina yanahifadhiwa kwa sasa) wakiwa na mtihani ofisini wakiusolve kisha kuupeleka vikaratasi vya majibu chumba cha mtihani kwa siri. Kwasasa wamewekwa mahabusu katika kituo kidogo cha polisi Ngorongoro huku uchunguzi ukiendelea.
Mmiliki wa shule nani,tukamate mwizi.
Brain Receive Nothing
Mimi naona tulipotezee, tujikite kwenye hli swali 142000-55000= ??? source: Al jazeera
Duuuh!
Nchi yangu Tanzania .VERY EVENTIFUL !
Ndege ya China na Tembo wetu
Kwanza mitihani yenyewe hata mtoto wa darasa la nne anafanya yaani ni mtihani mwepesi kuliko yote iliyowahi kutokea Tanzania sasa huyo mwl Kiherehere chake tu mwacheni aende jela wakamnanilii.hiyo BRN yao hadi hapo imeshafanikiawa maana hata huwe mburura vipi utashindwa hili swali.goat cow zebra are......(a)animals (b)houses (c)trees. yellow green black are ....(a)earth(b)water(c) colours.