Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

Huyu mwanadada so called Juliana Shonza na makamu mwenyekiti wa Bavicha aliniacha hoi sana tu na niko na hasira naye sana tu iweje kwanza hatujawahi kumsikia hata siku moja kuwa kavuna wanachama leo hii sijui kapewa kitu kidogo na Shibuda ili nae achafue hali ya hewa hapa,hana maana kabisa na sio mpambanaji wa kweli dada angu acha njaa kama ushanza kutumiwa na Magamba ni afadhali uachie ngazi wapo wadada makini sana tu kuliko wewe.
Pili kupingana kwako na mwenyekiti mapambanaji wa kweli kila leo anavuna wanachama wapya lakini wewe umekaa tu hata wengi wetu tulishasahau kwamba kuna makamu mwenyekiti sio ustaarabu uliotumia i hope mko na ofisi moja i mean kwenye jengo moja yaaani umeshindwa kwenda kumuona Mwenyekiti naa kuongea nae? kusema kweli wewe ndio umeanza kuonyesha tabiaa mbaya.
Unatakiwa ukumbuke kuwa Shibuda sio mara yake ya kwanza kufanya mambo ya ajabu ndani ya chama sasa huo uwezo wa wewe kumsemea au kumkingia kifua Shibuda umeupata wapi kama kweli wewe ni mpamabanaji basi fanya mikutano kila sehemu kwani sio haramu hata kama una majukumu mengine ili siku moja tusikie makamu mwenyekiti kamanda Juliana Shonza katingisha sehemu flani .Nakupa akiba ya maneno uombe msamaha au urekebishe kauli yako on the same media na hapo huenda tukakuelewa kwa mbaliiii.

Huyu dada nasikia wiki iliyopita alionekana akiwa na Shibuda maeneo ya Mbezi Makabe
 
Shibuda Shibuda Shibuda!!! Kwa nini unaumiza watu vicha? Alafu huyu dada nae anatoa tamko kama nani.
 
Juliana Shonza angetoka kinamna nyingine lakini alivvyotoka kudharilisha Bavicha amejipaka mavi usoni sijui atafuta kwa sabuni gani nadhani kama hajui kuwa wananchi wamekuwa overprotective juu ya chadema basi hafai kuwa Makamu Mwenyekiti kuna idadi kubwa sana ya wananchi ambao ni loose allie wa chadema zaidi ya wale wenye kadi hawa ni wale wasiopenda kuona mtu kwa namna yeyote ile anachelewesha mabadiliko

Wakati wa uchaguzi wao kuna uzi ulipita hapa kuwa alikuwa amepandikizwa na mimi naamini sasa ni pandikizi lisilo na akili angetumia forum nyingine sio hii ya mpuuzi shibuda Kumsafisha mtu amekuwa akidhalirisha chama mara zote halafu yee anajitokeza bila aibu kwamba ni mpambe wake, mwanamke amejishusha hadhi Kuonekana anamlinda pandikizi Shibuda asiestahili kujadiliwa hata na panya
 
unajua njaa kitu kibaya sana. Hivi ana profession gani yule dogo? Hii ndo hasara ya kuchagua watu kwa sababu ya sex. Hawa vijana wenye tamaa za kuja kugombea ubunge watadundana ngumi mbele za watu. Kwani ukiwajibu waandishi wa habari kwamba siwezi kulizungumzia kuna shida?

Mwageni CV yake javini tuichambue.
 
Hatumsikii kwenye kazi ya kujenga Chama ila tunamsikia kwenye kubomoa, ni mmoja wa waliopandikizwa na ccm au kapewa fungu aichafue Chama? Kiongozi mzuri katika jamii au hata katika familia ni yule anayemkosoa kiongozi mwenzake kwenye vikao vya ndani au amfuate moja kwa moja kujua sababu ya kiongozi huyo kufanya jambo hilo. Hivi katika familia mzazi mwenzako ukihisi amekosea unaita press conference ili kuwatangazia maadui zako? Dada yetu ajiangalie kama yuko sawa, vijana tutaanza kupoteza imani na uwezo wake wa kufikiri na kutatua matatizo kiuongozi katika jamii. Nawasilisha wakuu.

unamtaka M/mwenykt atumie vikao vya ndani kumkosoa mwenzake,mbona Heche alipomkosoa Shibuda hukumshauri atumie vikao vya ndani? Unafki wenu wa kutokubali kukosolewa utawaadhiri sana,nyie ni chama cha ajabu sana,hivi lini mlikubali kukosolewa au nyie ndo mnaoteshwa na mnaupako wa kuongoza?
 
CDM ni sawa na CCM tu
Chama kinakuwa na mambo yale yale...mtoto ndevu mkumbwa ndevu km kambale...upuuuuuz
 
Huyu dada ni MBUMBUMBU na MPUMBAVU wa mwisho na ndio zile sample za wakina Ben sanane. Du... CDM tuna kazi kweli kweli
 
Slaa anaupeo mkubwa zaidi ya haka katatizo. Ah. Huyu dada nilisoama nae, na nilikutana nae kwenye arakati nyingi sana. Sijui kama kabadilika tayari.
 
Acheni sera kandamizi na za kibaguzi ,Mwana dada yuko sahihi kabisa unajua Heche kakurupuka na kujifanya yeye ndio BAVICHA kisa yuko karibu sana na Mwenyekiti pamoja na Katibu wa CDM.Ndio maaana sisi vijana wenye uelewa wa kutosha tutaendelea kukitumikia chama cha mapinduzi kwani hakina ukanda.CDM sasa hivi hawana na hawataki mtu yeyote toka mikoa mingine kushika uenyekiti, ukatibu mkuu au kugombea urais kupitia cdm labda uwe mchaga au mtu wa kaskzini.Kwa hali hiyo CCM lazima kitawale milele yote kwa ni chama cha wananchi wote wapenda amani na maendeleo.
 
unamtaka M/mwenykt atumie vikao vya ndani kumkosoa mwenzake,mbona Heche alipomkosoa Shibuda hukumshauri atumie vikao vya ndani? Unafki wenu wa kutokubali kukosolewa utawaadhiri sana,nyie ni chama cha ajabu sana,hivi lini mlikubali kukosolewa au nyie ndo mnaoteshwa na mnaupako wa kuongoza?
''Alichokosea'' Heche sio sawa kabisa na upumbavu aliofanya Shibuda. Shibuda hahitaji kikao hata cha dakika moja. Huyu ni mchumia tumbo namba moja sawa na John Cheyo.
 
kale kadada hakana lolote, ni chaka tu

huyu shoza ni chaka zaidi ya chaka lenyewe, dhiki ukiendekeza itakuharibu shoza, umesahau vita vya Panzi ni furaha kwa mwewe? acha kimbelembele cha kukimbilia media kupata umaarufu wa kis*****e mpuuzi kabisa. wenzako wanajenga chama we unaendeleza majungu na kuihujumu BAVICHA? Ungekuwa enzi za Mangi sina tungekuning'iniza kwenye mti njia panda ili kila anayepita hapo akuone kwa upuuzi wako. najuta kukupigia kura coz kura yangu ilipotea bure dah.... bora ningempa Kamanda Gwakisa
 
Kaka yangu FJM, mbona umekuwa mgumu kuelewa? ina maana na wewe hujaelewa?

Tumpe ushirikiano mwana dada machachari, wanawake wakiwezeshwa wanaweza!

umeongeA useng* qwe jamaa, umeniboaje usiku huu , wanawake nd hao hao wanatumiwa na mfisadi kama wulivyotumika,
 
[h=2]
rldJL3e1y+zufWS6J5RfOgXb3Uq183QAAAABJRU5ErkJggg==
mwanamke mpumbavu kama juliana shoza hubomoa nyumba yake mwenyewe-mith 14[/h]
 
Huyu binti sijawahi kumsikia popote.leo ndo namsikia...kwenye kupiga kazi ya kukitambulisha chama kwa watu haka kabinti kako kimya...yakija mambo ya ajabu ndo anakuwa mstari wa mbele kutoa maneno..ni nani hamjui heche kazi anayofanya...kaka kaza buti


Siyo kama kwenye kazi za ujenzi wa chama yupo kimya, ni kwamba CDM hawana desturi ya kutumia watu kama hawa ndio maana wanaendelea kuwatumia watu kama kina Heche pekee yao, kumbuka kua CDM bado hakitaki ku decentralize nguvu zake kupitia viongozi wake ndio maana wanawakumbatia watu walewale wengine wanabaki kuwa wasindikizaji wa chama
 
Siyo kama kwenye kazi za ujenzi wa chama yupo kimya, ni kwamba CDM hawana desturi ya kutumia watu kama hawa ndio maana wanaendelea kuwatumia watu kama kina Heche pekee yao, kumbuka kua CDM bado hakitaki ku decentralize nguvu zake kupitia viongozi wake ndio maana wanawakumbatia watu walewale wengine wanabaki kuwa wasindikizaji wa chama

Wacha uwongo na porojo zako wewe.Kuna mtu kamzuia huyu msichana mjinga kukitangaza chama? Kuna siku alipokea kadi za Magamba akanyimwa? Hata hivyo CDM haihitaji kuwa na kiongozi mjinga kama huyu asiyejua kusoma alama za nyakati.Huyu ni sawa na mfu anayetembea.
 
mwenyekiti mbowe alipokosoa kauli ya edwini mtei kuhusu maoni ya mtei katika tume ya katiba alikosolea wapi? Katika vikao vya ndani au press
 
Back
Top Bottom