Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

Status
Not open for further replies.
Bora kujitwisha gunia la miba lakini sio ujinga.!!!!

Mada ni Makamba,Waislam na elimu wewe inaingiza chadema inahusika vipi hapa.?
wafuasi humu wanamuunga mkono. hapa ndipo cdm na Baadhi ya wanaccm wanapoungana. likija swala la wasialam, chadema wanaunga mkono
 
Hawa akina makamba wanaongea kama wanachukuliwa na maji
hivi kuiba kote alikoiba amejenga shule au vyuo vingapi? (hata kama ni kiisilamu sijali sana)
Makamba haoni hata aibu, yeye kasomesha watoto wake kawapa kazi nzuri kwa kutumia nafasi yake serikalini,
bila aibu anawatukana Waisilamu, amenikwaza, ameniudhi.
 
Bora ungeuliza hivi: 'Je Makamba anapingana na sera za Boko Haram?'

Sielewi kwanini usia mzuri wa Yusuf Makamba kuwataka Waislaam wasome uhusishwe na Boko Haram?

Sioni tatizo Makamba anapoongea na Waislaam akawapa usia huo ambao unapatikana pia katika Qur'an. "IQRAA".
 
Mama yake ni Mkristo na dini ni hiyari ya mtu.
kwa hivyo mzee makamba kazaa na mkiristo? Hakuwaona waislam wenziwe. angalioa muislam angalimpatia elimu na nafasi ya JANUARY angaliikamata mwanawe wa kiislam badala ya kutumia majukwaa
 
Bora kujitwisha gunia la miba lakini sio ujinga.!!!!

Mada ni Makamba,Waislam na elimu wewe inaingiza chadema inahusika vipi hapa.?[/QUOT
Yaani sioni hata uhusiano wa Chadema na hii ishu ya watu kwenda shule!
 
Kikweli mi naona ni jema na halina ubishi! Kuna nafas nchi hii ni moja moja tu kwa nchi nzima na hapo ndipo dini inawekwa kando na wanaangalia Vyeti hata kama unasali na rais chumba kimoja, huna vyet huna kaz
 
waislam kweli hawawakusoma. hata f4 na f6 hawana? wakuu wa wilaya na mikoa wengi ni f6 kwanini tusiwape nafasi hizi. na nafasi za wasomi kama vyuo vikuu wakaendelea kushika wakiristo?
 
Nadhani makamba ameenza kuchanganyikiwa akili.

Hujuma ziko wazi! Na hata akina Ndalichako walikili! huyo makamba anaongea kwa ushahidi upi?
Mara ngapi misaada mikubwa imepelekwa Kwenye mashule na vyuo vinavyomilikiwa na kanisa KUPITIA makubaliano Haramu ya MOU? Hii ni kwa faida ya nani? na maslahi ya nani? watu wakihoji mnasema udini na uchochezi! acheni mambo yenu bwana.

Kwa nafasi alizopata kushikilia Makamba katika serikali na CCM, naamini kabisa anajua anachoongea. Kuna ubaya gani kusema waislam wakazanie elimu? Wakati Makamba anasema hayo, hao wanaosemekana wako mbele kielimu ndio kwanza wanaongeza speed. Ajabu ni kwamba maeneo ambayo toka awali kwa sababu za kihistoria ndiko wakoloni walikoweka shule nyingi hivyo watu wao kuwa na wasomi wengi baada ya uhuru, ndio huko huko tena, shule za kata zimeshamiri zaidi. Kama ushauri wa Makamba utapuuzwa, hili pengo la elimu kati ya wakristo na waislam litaendelea kuwa kubwa zaidi. Na tusisahau hata wakristo, msije mkashangaa mnaongelea dhehebu moja tu - wakatoliki. Walutheri wameliona hilo na ndio kwanza nao wanafanya bidii kusomesha watu wao. Ni ushindani wa chinichini unaendelea kati yao. Lakini waislam, hao wote ni wakristu tu. Narudia, ushauri wa Makamba ufanyiwe kazi
 
KESHO ASIMAME ASEME. NDUGU ZANGU WAKIRISTO WAISLAM HAWAKUSOMA. KWA HIVYO TUTUMIE NAFASI ZETU HIZI NA ELIMU YETU KUIKOMBOA TZ YETU KIELIMU NA KIAFYA. HAPA MIMI NDIPO Nitapoumini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom