Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

Status
Not open for further replies.
Nadhani makamba ameenza kuchanganyikiwa akili.

Hujuma ziko wazi! Na hata akina Ndalichako walikili! huyo makamba anaongea kwa ushahidi upi?
Mara ngapi misaada mikubwa imepelekwa Kwenye mashule na vyuo vinavyomilikiwa na kanisa KUPITIA makubaliano Haramu ya MOU? Hii ni kwa faida ya nani? na maslahi ya nani? watu wakihoji mnasema udini na uchochezi! acheni mambo yenu bwana.
ndio maana makamba anawaambieni mwende shule ili mjue kuandika proposal za kuomba misaada hamtaki, au mnadhani misaada huwa inakuja hivi hivi?! Hata baba riz alishawaambieni kama mnalalamikia ruzuku nanyinyi ombeni..... tatizo mmekalia majungu tu...so, fuateni ushauri wa makamba.
 
"(Uncle Tom) House Niggers do scare me" - KRS One "House Niggas" (1989)
 
Makamba kamsomesha wa kwake sasa ni WAZIRI, anawahusia wenzake wasiendekeze bao. Jirani yangu wa sehemu niliyokuwa ninaishi mwanzo kule Ubungo Jadide alikuwa bingwa sana wa mihadhara na kushinikiza Dr.Ndalichako ang'olewe, lkn cha kushangaza mtoto wake wa kiume aliacha shule darasa la 4 na mwingine ana miaka 11 bado hajaanza shule.

Sasa ukijiuliza hata huyu wenye mtoto aliyeishia darasa la tatu naye ana ugomvi na Ndalichako. Hawa watu jamani, ukiyafikiria mambo yao unachoka.
 
ndio maana makamba anawaambieni mwende shule ili mjue kuandika proposal za kuomba misaada hamtaki, au mnadhani misaada huwa inakuja hivi hivi?! Hata baba riz alishawaambieni kama mnalalamikia ruzuku nanyinyi ombeni..... tatizo mmekalia majungu tu...so, fuateni ushauri wa makamba.

Jinga sana wewe, Proposal iko wapi? MOU ni ouvu uliofichwa na sasa umefichuliwa huo ndio ukweli wenyewe na hakuna majungu.
 
Haya masuala ya dini yanatugawanya jamani mbona hatuelimiki,hawa watu wanatugawa ili watutawale vizuri
 
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba amewaasa waislamu kusomesha watoto elimu akhera na Dunia, ili waweze kuajiriwa na serikali ktk nafasi mbalimbali.

Amesema kuwa anashangaa Waislamu wakidai kuwa Serikali inawapendelea Wakristo huku wao (Waislamu) wengi wakiwa hawana elimu na kwamba nafasi za kazi haziwezi kugawanywa kama njugu hivyo ni lazima sasa waislamu wahakikishe wanasomesha watoto wao ili waweze kuwa na elimu ya kuweza kuajiriwa.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze magazeti.
nafasi za Mikuu ya mikoa haina lazima elimu ya f6.f4 mbonapamejaa wakirisito?.
 
angalau waislam wengi wapo nje ya system tz inaongoza kwa rushwa, umaskini . hapa jamii ya kiislam hawana LAWAMA maana hawana nafasi katika ujenzi wa taifa hili kwa kuwa hawakusoma.Kesho mh makamba uwalaumu waliosoma (wakiristo) kwanini wanaipeleka nchi yetu katika umaskiini mkubwa?
 
naamini kesho makamba atawalaumu WASOMI (wakiristo) kwa kuifilis nchi yetu maana kwa kuwa waislam hawakusoma sidhani kama wanahusika na Umasikini huu wa tz
 
Haya masuala ya dini yanatugawanya jamani mbona hatuelimiki,hawa watu wanatugawa ili watutawale vizuri

Kweli mkuu
 

Attachments

  • 247740_366481386784825_1018854852_n.jpg
    247740_366481386784825_1018854852_n.jpg
    35.1 KB · Views: 50
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom