Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

Inawezakana kale katoto ambako Makamba alikazaa kwa kumpa mimba mwananfunzi kigoma hata akafukuzwa ualimu kakawa ndiyo Tambwe, jina la Hiza ametumia la mjomba wake tu maana makamba alimkataa, ila kiukweli huwa anaitwa Tambwe Makamba
Kama uko karibu na Ridhiwani muulize au muulize sheikh yahaya maana ndiye aliyewasuluhisha Makamba na mtoto wake Tambwe

Hukujua? Mbona maudhui yao yanafananafanana kama maziwa na tui la nazi yakh:horn::horn:e!
 
Maselef ina maana makamba alimu interview Tambwe? Kama Tambwe ndo alionekana anafaa sijui wengine waliokosa nafasi hiyo walikuwa vilaza kiasi gani?
 
quote_icon.png
Originally Posted by chiefmasanja
Inawezakana kale katoto ambako Makamba alikazaa kwa kumpa mimba mwananfunzi kigoma hata akafukuzwa ualimu kakawa ndiyo Tambwe, jina la Hiza ametumia la mjomba wake tu maana makamba alimkataa, ila kiukweli huwa anaitwa Tambwe Makamba
Kama uko karibu na Ridhiwani muulize au muulize sheikh yahaya maana ndiye aliyewasuluhisha Makamba na mtoto wake Tambwe

Makubwa!!
 
Mi nawapa nyinyi nyote mnaopiga kura.. why not find vitu vya muhimu kujadili?

sio muda wote unatakiwa uwe serious, sometimes unaiacha akili ipumue
, unatafuta kitu cha kukuburudisha, otherwise unakuwa kichaa.
kura yangu inaenda kwa makamba
 
Mzuanda achana na huyo amanibaraka kwake kujadili uwezo wa viongozi wake si muhimu.
 
Nadhani Makamba hana mpinzani, sio kwa SISIEM tu bali Tz nzima, maana yeye akili zake alishaziweka stoo ya mkaa muda mrefu
 
Nadhani Makamba hana mpinzani, sio kwa SISIEM tu bali Tz nzima, maana yeye akili zake alishaziweka stoo ya mkaa muda mrefu

of koz hawa jamaa ni vinara sio tu ndani ya CCM bali Tz yote
 
Makamba?
Huyu Baba hana mpinzani Duniani hata Mbinguni.
Kwanza haya hana, pili ana kiherehere.

dah Tambwe ni kichuguu na Makamba ni Mlima jamani.
Mnyonge nyongeni but haki yake mpeni...Makamba yuko juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom