Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,160
2,001
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuwafuatilia viongozi hawa wa CCM, Yusuph Makamba (Katibu) na Tambwe Hiza wa Kitengo cha Umbea. Nilichogundua ni kwamba wote wanafanana sana kwa kiasi kikubwa kwani wote ni:-

1. Wote ni wanafiki wakubwa
2. Wote hawana point ni waropokaji tu a.k.a Hamnazo ( Midomo yao huwa haina
ushirikiano na Akili zao wakati wanaongea)
3. Wote ni watu wa kujipendekeza tu kwa Mafisadi
4. .....
5. ....
Kwa tabia hizo chache na nyingine mnazozifahamu ni nani mkali zaidi wa mwenzie kwa pumba, unafiki, kuropoka, n.k ?
 
Wote asili yao moja na akili zao ni sawa kabisa hamna aliyemzidi mwenzake
 
Makamba anatumia vifungu vya vitabu vitakatifu (Biblia na Koran) kuhalalisha maovu. Kwa hiyo ni zaidi.
 
Naona heri ya Makamba huwa anaongea pumba kwa kuwa anakuwa ameshtukizwa maswali, kuliko Tambwe anayeongea pumba hata kama amejiandaa mapema! Kwangu mimi, Tambwe ni mkali zaidi!
 
No makamba amezidi mno maana sehemu ya kuropoka neno zuri ye anaropoka baya tena sana mf: Cdm walikiuka maadili [polisi wakafanya kazi yao. Hiyo si kauli ya kuropokwa na mtu ka yeye.

Conclusion makamba zaidi
 
Mmoja kichwani kuna haja ndogo badala ya ubongo na mwingine kichwani kuna haja kubwa badala ya ubongo. Wote ni taka taka tu
 
Naona heri ya Makamba huwa anaongea pumba kwa kuwa anakuwa ameshtukizwa maswali, kuliko Tambwe anayeongea pumba hata kama amejiandaa mapema! Kwangu mimi, Tambwe ni mkali zaidi!

Hii kali mkuu
 
Mi nawapa nyinyi nyote mnaopiga kura.. why not find vitu vya muhimu kujadili?
 
Makamba ni mzigo zaidi kwa nafasi yake. Tambwe anafanya kazi yake vizuri coz ajira yake yahusu kusema uongo!
 
labda ifanyike research, inawezekana Tambwe Hiza na Makamba wanauhusiano-mjomba na mpwaye au baba mdogo
 
Pumba za Makamba zinachangiwa na uzee, pamoja na mabomu wakati akiwa jeshini! Tambwe bado ni bwana mdogo kabisa, akifika umri wa makamba atakuwa ni balaa!
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuwafuatilia viongozi hawa wa CCM, Yusuph Makamba (Katibu) na Tambwe Hiza wa Kitengo cha Umbea. Nilichogundua ni kwamba wote wanafanana sana kwa kiasi kikubwa kwani wote ni:-

1. Wote ni wanafiki wakubwa
2. Wote hawana point ni waropokaji tu a.k.a Hamnazo ( Midomo yao huwa haina
ushirikiano na Akili zao wakati wanaongea)
3. Wote ni watu wa kujipendekeza tu kwa Mafisadi
4. .....
5. ....
Kwa tabia hizo chache na nyingine mnazozifahamu ni nani mkali zaidi wa mwenzie kwa pumba, unafiki, kuropoka, n.k ?
Wako sambamba wanjitahidi kupigana vikumbo ili kupata mkali lakini imeshindikana.
 
Kidooogo walikua wafungani pointi ila kusema ukweri Ticha Baba Januari kidogo kapelea kale KANUNDU KA-TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA mbele ya uso kale kanakonusanusa noma na kubaini watu mapigo ya moyo kabla ya kumiminiwa UONGO TAKATIFU itetewayo ama Qur'ani Tukufu au Biblia Takatifu.

Mpaka hapa natumai msimamizi wa michuano hii hatochakachua matokeo maana ikitokea hivyo rufani nitamkatia Mzee Ma-ROPES akatendewe haki.
 
Cheni nyinyi TAMBWE kiboko, mnaodhani makamba nadhani hamjawahi kuwa karibu na kilaza tambwe
 
Ni kweli Henge Tambwe ni mwisho wa reli kwa uongo, unafiki na pumba sema tu hasikiki mara kwa mara kama Makamba
 
Tabwe ana akili za matope ili hali makamba ana akili za kimba, nitawapeni jibu baadae nani mkali kwa pumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom