Kama ni sera tumeimbiwa kila mara. Kama kuna ushahidi wa rekodi mbaya lazima zitajwe ili watu wachague watu wasio na rekodi chafu. Mfano kama kweli kuna ushahidi kuwa 2005 pesa ziliibwa serikalini ili kufanyiwa kampeni, lazima tujue ili tusije chagua wezi. HIVO HISTORIA INATAKIWA ILI TUFANYE MAAMUZI SAHIHI.Hizi kampeni zinakoelekea nadhani watu wanaweza kushangazwa na mambo yanayoweza kutokea...nadhani iko haja ya watu kufanya kampeni kwa kufuata taratibu na makubaliano waliyosaini kuyafuata...hizi siasa za kuongelea watu nadhani zisipewe nafasi.kila chama kitangaze sera na sio nani kafanya nini nasi tusishabikie hizi biashara za kuongeleana kwenye kampeni kwani hapa tutapoteza muda na malengo ya kampeni ambayo ni kutangaza sera kwa kuinadi ilani yako ya uchaguzi na kumnadi mgombea husika atayetekeleza ilani hiyo....nahisi watu wengi wanapenda kusikia nani kafanya nini na sio nani atafanya nini...hao kina Makamba wako kazini na ni wajibu wao kuongea kwa niaba ya vyama vyao...ni wajibu wetu kuwafanya wakae kwenye mstari kwa kunadi sera na kutowapa nafasi ya kuzungumzia nani kafanya nini...ushabiki utatufanya tupoteze sifa ya great thinkers kwa kuwa tutaburuzwa na heka heka za kampeni(ofcourse hazikosekani,lazima ziwepo) na kupoteza umakini wetu tutakapokuwa mstari wa mbele kushabikia mambo binafsi yanayosemwa kwenye kampeni na kuacha kufuatilia sera na ilani za vyama ambazo ninaamini ndizo zinatufanya tuchague huyu badala ya yule. tujadili hoja na tuachane na kushambuliana kwa matusi na kejeli kwani kama mchezo huo utakuwa ndio order of the day basi nadhani mwenye matusi,kashfa na maneno makali ndio atashinda hata kama hana sera wala ilani inayotekelezeka.
Hebu jibuni hizo hoja jamani, stop cherry picking hoja ambazo ziko upande wenu tu. Halafu mkiambiwa mna akili ndogo mnalalamika. Ukiangalia kwa undani majority ya posts za Chademanistas humu ndani zina ufinyu wa mawazo.
Heheheheeee...you couldn't stay out of this one, could you?
Hebu jibuni hizo hoja jamani, stop cherry picking hoja ambazo ziko upande wenu tu. Halafu mkiambiwa mna akili ndogo mnalalamika. Ukiangalia kwa undani majority ya posts za Chademanistas humu ndani zina ufinyu wa mawazo.
kwa ajili ya kuweka rekodi sahihi. MAKAMBA aliwahi kuweka rekodi ya kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza tanzania (wakati huo akiwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro) kufeli masomo yake ya diploma akiwa mwaka wa kwanza tuu katika chuo cha maendeleo Mzumbe Morogoro (kabla hakijawa chuo kikuu). Japokuwa alijitahidi kutumia madaraka yake ya ukuu wa Mkoa kuwashiniza walimu wasimfelishe, lakini kutokana na ukilaza wake alishindwa kubebeka na hivyo ali disko mwaka wa kwanza tu.
tutafakali, yeye na hao wenzake anaowasema nani mwenye akili.
Mwambieni Makamba awahi Airport kumpokea Mkwewe aliyempeleka Amerika kujifungua kwa sababu tu Tanzania hakuna huduma nzuri za Afya na kutaka mjukuu wake apate Uraia wa Marekani.......Wale watanzania wa kule Bumbuli wakiachwa wanajifungua nyumbani bila huduma nzuri za Afya.Hawa ndio viongozi tunaowataka Tanzania!
NN,
he he he he ... Selemani ametoka kifungoni leo. Kwa jitihada zake, amejishindia hii toka kwa timu Kikwete:
Kwani Sele alikuwa kifungoni?
Halafu hizi totoz unazitoa wapi bana? Loh!!!!!!
Hizi totoz ziko kwenye kampeni ya Kikwete. Inabidi uingie CCM tu mazee maana huko mambo yake sio mchezo ---- sifa zote kwa muumba wa mbingu na nchi.
Hapa natafuta picha ya Njoki (sijui kama nimekosea jina).
Najua tu Rev Masa atakuwa nayo maana nasikia Njoki alikwenda fanya maombi kwa mzee wa southern gospel
Una maana Dokii?
point hapa wenye kuzungumzia watu baada ya issue hili ndilo linapelekea simple mind kama za akina hawa
There we go .. i dunno why nilikuwa namuita njoki ....
Maze ... sala na maombi vilikwenda vipi? ....Lol
Mutu,Yaani na ww sijuhi nduguye makamba wote hamnazo ,umeleta hii habari ukazani makamba anaongea point kumbe anaharisha maskini kijitu cha pwaniii!!!!!!!!!!!! Yaani ume leta hiyo habari kusaidia kuonyesha pumba za mtoa pumba maarufu afrika mashariki na kati ambazo atukuzisikia wengine
Kwa ajili ya kuweka rekodi sahihi:
MAKAMBA aliwahi kuweka rekodi ya kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania (wakati huo akiwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro) kufeli masomo yake ya diploma akiwa mwaka wa kwanza tuu katika chuo cha maendeleo Mzumbe Morogoro (kabla hakijawa chuo kikuu).
Japokuwa alijitahidi kutumia madaraka yake ya ukuu wa Mkoa kuwashinikiza walimu wasimfelishe, lakini kutokana na ukilaza wake alishindwa kubebeka na hivyo ali disko mwaka wa kwanza tu.
Tutafakari, yeye na hao wenzake anaowasema nani mwenye akili.
Mutu,
Halafu ukiangalia hii mitu ya pwani haijaonekana hapa tangu uchaguzi iliyopita. Ndio wameingia kama nzige.