Makamba na siasa za mwaka 2015

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Ndugu zangu wana jf salaam,

nimekuwa nikimfikiria sana huyu bwana mkubwa katibu wa ccm luteni mstaafu yusufu makamba kwamba mambo anayoyafanya ndani ya chama akishirikiana na mwenyekiti wake mh dr jk wanatuharibia chama hasa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015 maana wao kama watendaji wakuu wa chama wamekuwa hawachukui maamuzi magumu ili kukinusuru chama angalia mambo yanayotendeka nchini chini ya serikali ambayo ccm ndiyo chama tawala hawayotelei majibu yanayotakiwa kwa mfano suala la katiba mpya, dowans, richmond, epa...

Kama chama tawala kupitia kwa msemaji wa chama luteni mstaafu makamba wangeshatoa tamko la chama lkn wao wamekaa kimya na hata pius msekwa hapewi nafasi inayotakikana chamani
je kwa mtindo huu si ndo washindani wengine kama cuf, nccr, udp ,chadema na wengineo wengi si ndo watapata nafasi ya kuibuka na ushindi mzito hapo 2015?
Please makamba na wenzako badilikeni kwani muda bado upo

angalia kwa mfano baada ya uchaguzi makamba alihojiwa na bbc kwamba kama wewe ukiwa katibu mkuu wa chama tawala mnajiandaaje kwa uchaguzi ujao hasa ukizingatia kuwa kipindi hiki cha uchaguzi mmepewa changamoto nyingi na vyama vya upinzani?
Makamba akakurupuka na kujibu kuwa:
"...watanzania ni wasahaurifu sana watasahau na kutupa kura sisi ccm kwani mpaka 2015 watakuwa wameshasahau mambo ya chadema..."
 
Hicho ndicho ninachompendea Makamba i pray day and night this guy to continue as CCM GS for another 5 years.
 
Acha unafiki bwana ,chama gani hicho hata watendaji wake wakuu huwajui. Rais na mwenyekiti anaweza kuwa mtendaji.

Vile vile acha uzandiki wako.
 
Mungu amemweka Makamba kuwa Katibu Mkuu wa ccm, wakati huu (wakati alioufanya Bwana!?) ili kutufunulia unabii utakaoonesha mwisho wa utawala dhalimu wa ccm! Kupingana nae ni sawa na kupingana na mpango wa Mungu. Nio maana huwa naupenda sana upuuzi wake na ninaomba awe katibu wa kudumu ili neno litimie. Nampena sana Makamba kwasababu anafanya yale anayotakiwa kufanya na hakosei. Soon and very soon, unabii utatimia na hisia zangu zinanionesha ni 2015. Udumu milele katibu makamba...!!?
 
Back
Top Bottom