Kwanza kwa taarifa yako viongozi wa majeshi mengi sub Saharan Africa wamepata training TMA ( Monduli),including amiri jeshi mkuu wa UPDF kwa hiyo wanafahamika vizuri. JWTZ imeshiriki kikamilifu kwenye ukombozi wa bara la Afrika hasa kusini mwa sahara, hivyo tunazijua vizuri nchi hizi zote na zinatuheshimu kama ndugu zao kwa kuwa tulimwaga damu kwa ajili yao. Kutokana na uzoefu na uti wa JWTZ wanajeshi wetu wanapelekwa kwenye nchi mbalimbali duniani kama Lebanon, juzi 800 wameenda Darfur. Nataka niseme JWTZ ina historia pana ya ukombozi kutokana na uzalendo wa bara letu na uti wa Jeshi lenyewe. Zaidi ukitaka kujua makali JWTZ muulize Mohammed Bakari na washirika wake.
Hata huyu ni Kapteni....tambi lake bwana balaa
Tofautisha ukaptani uliopatikana kwa kuimba vizuri nyimbo na ukaptani uliopatika kwa kupata mbinu za kijeshi na kuonyesha ujuzi wa hali ya juu!!
..Ah! Ni zile bia za 400/= ndio zinazowalemaza hao. NImeshawahi kutembelea mesi mmoja ya JWTZ mazee ukiwa na 5,000 utakula bia mpaka usahau mlango wa kutokea. Sasa wataacha kuota hivyo vitumbo? Hao na polisi ni sawa tu full mauzembe. Nenda polisi baracks pale kurasini uone inabidi mpaka raia waingiie kwebnda kuwasaidia kunywa bia za bei poa wao wenyewe wanaishia kupokea pay in slip tupu mwisho wa mwezi.Kitambi ni sign ya mambo kuwa safi Kibongo bongo..
kitambi ni kitambi hakina justfication,kiwe cha ufuge au bia ni ukosefu wa mazoezi na kila bila kipimo,unamjua sayore wewe?au ushawaona ma askari wa us army hata hao maafisa wao wasioenda front line
Tyta picha please!