Makamanda wetu wa JWTZ

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Hivi vita ikitokea leo hawa jamaa na vitambi wataweza kukabiliana na adui?

IMG_7446.JPG
 
View attachment 35246

hawa ni wakubwa sana kuwa uwanja wa vita.. hawa huongoza vita wakiwa ofisini au sehemu nyingine mbali...hata wakienda vitani hawakai mstari wa mbele....

Pili, jeshi la siku hizi sio lile la kufuatana na kuchomana singe za SR....

Tatu, hicho kitambi sio cha mbege.... huo mwili una zoezi mangi...
 
kitambi ni kitambi hakina justfication,kiwe cha ufuge au bia ni ukosefu wa mazoezi na kila bila kipimo,unamjua sayore wewe?au ushawaona ma askari wa us army hata hao maafisa wao wasioenda front line
 
View attachment 35246

hawa ni wakubwa sana kuwa uwanja wa vita.. hawa huongoza vita wakiwa ofisini au sehemu nyingine mbali...hata wakienda vitani hawakai mstari wa mbele....

Pili, jeshi la siku hizi sio lile la kufuatana na kuchomana singe za SR....

Tatu, hicho kitambi sio cha mbege.... huo mwili una zoezi mangi...
Have you ever heard about Field marshal Erwin Rommel? Na yule mpinzani wake wa kiingezera kule Libya na Tunisia? Ushawahi kumsikia Gen. Douglas MacAthur? Hawa waliongoza vita kutokea wapi? Na ni kwanini wanaheshimika sana miongoni mwa wanajeshi maana nikisema napoleon utasema ilikuwa ni zamani sana....mtu asikudanganye bwana. Vita inapangwa ofisini inapigwa uwanja wa mapambano..afya mbovu utaandaje mikakati ya vita na kuitekeleza?
 
have you ever heard about field marshal erwin rommel? Na yule mpinzani wake wa kiingezera kule libya na tunisia? Ushawahi kumsikia gen. Douglas macathur? Hawa waliongoza vita kutokea wapi? Na ni kwanini wanaheshimika sana miongoni mwa wanajeshi maana nikisema napoleon utasema ilikuwa ni zamani sana....mtu asikudanganye bwana. Vita inapangwa ofisini inapigwa uwanja wa mapambano..afya mbovu utaandaje mikakati ya vita na kuitekeleza?
wape vyao hao!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Have you ever heard about Field marshal Erwin Rommel? Na yule mpinzani wake wa kiingezera kule Libya na Tunisia? Ushawahi kumsikia Gen. Douglas MacAthur? Hawa waliongoza vita kutokea wapi? Na ni kwanini wanaheshimika sana miongoni mwa wanajeshi maana nikisema napoleon utasema ilikuwa ni zamani sana....mtu asikudanganye bwana. Vita inapangwa ofisini inapigwa uwanja wa mapambano..afya mbovu utaandaje mikakati ya vita na kuitekeleza?
Mkuu unfikra zenye akili,siyo kama bushbaby naona upeo wake sawa na baby ndo maana haoni mbali.
Nampongeza alie sema Avater za watu zinaendana na upeo wao
 
Kabla hajatea kwenye kona au mlango unaona kitambi,alafu baada ya dakika tano ndo unaona sura,haaaaaa

Unajua nchi ina amani ya uoga na hakuna wa kufurukuta tena kwa vyombo hivi vya usalama vinavyotumika. Sasa wameamua kulamba mali za wadanganyika, meremeta nk. wtakosa vitambi hapo?
 
Akina marehemu Mayunga, Owden na wenzake hawakukaa maofisini kwenye vita vya Kagera. Walikwenda wao mstari wa mbele bila woga. Hawa wenye vitambi lazima watakaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka na ndipo kichapo tutakapo kiona.-Tutapigwaje?
 
Hivi vita ikitokea leo hawa jamaa na vitambi wataweza kukabiliana na adui?

View attachment 35242
Kitambi siyo kifaru kwamba kitarusha makombora, zaidi ya hapo ni kwamba kwa dunia ya sasa hatuhitaji misuli ya mwili kushinda vita. Tunahitaji zaidi misuli ya ubongo. Dunia ya sasa mtu anaweza kuwa pentagon akafyatua topedo kwenye nyambizi ndani ya bahari ya pasifiki, kwa hiyo ukiacha ukweli kwamba wanajeshi wa JWTZ wenye vitambi ni maofisa, ukweli pia unabaki palepale kwamba ubora wa jeshi hauwezi kupimwa kwa upana au udogo wa tumbo ya mwanajeshi. Nadhani Jeshi linahitaji kuwekeza kwenye intelligence na technolojia zaidi kuliko kuangalia maumbo.
 
Akina marehemu Mayunga, Owden na wenzake hawakukaa maofisini kwenye vita vya Kagera. Walikwenda wao mstari wa mbele bila woga. Hawa wenye vitambi lazima watakaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka na ndipo kichapo tutakapo kiona.-Tutapigwaje?

Kwanza kwa taarifa yako viongozi wa majeshi mengi sub Saharan Africa wamepata training TMA ( Monduli),including amiri jeshi mkuu wa UPDF kwa hiyo wanafahamika vizuri. JWTZ imeshiriki kikamilifu kwenye ukombozi wa bara la Afrika hasa kusini mwa sahara, hivyo tunazijua vizuri nchi hizi zote na zinatuheshimu kama ndugu zao kwa kuwa tulimwaga damu kwa ajili yao. Kutokana na uzoefu na uti wa JWTZ wanajeshi wetu wanapelekwa kwenye nchi mbalimbali duniani kama Lebanon, juzi 800 wameenda Darfur. Nataka niseme JWTZ ina historia pana ya ukombozi kutokana na uzalendo wa bara letu na uti wa Jeshi lenyewe. Zaidi ukitaka kujua makali JWTZ muulize Mohammed Bakari na washirika wake.
 
Back
Top Bottom