Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Ahaaa Jenista Mhagama,Huvi ni mbunge wa wapi?

Naona ni Waziri miaka nenda rudi hatoki,Na sasa naona anamuandaa nasikia ndugu yake Jokate Mogelo arithi jimbo lake huko Pera Miho

Hata wale wanyaki ni pale walipoamua kustaafu tu mfano Prof Mark Mwandosya na mwenzake Prof homil Mwakyusa

Hata kule sumbawanga alikuwepo Mzee Paul kimiti na mwenzake Mzindakaya miaka nenda rudi
 
Unauliza ni Mbunge wa wapi Kisha unataja Jimbo lake! Hivi nyie Kuku msiokuwa na jinsia nliletwaje humu! Kuku
 
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Tafuta maarifa namna ya kutoboa zaidi ya kutegemea teuzi za kisiasa!

Eneo ambalo halina ushindani kwa sasa hapa Tanzania ni kwenye technology!

Ukiwaza teuzi tu ,utabaki kuwa chawa na utachakaa sana!

Mawazo ya kijinga jinga kama haya ambayo ni unverifiable yanatoka kwa watu wasio wabunifu wanaowaza teuzi tu kila wakati!
Think out of the box!

I'm a leader without a Title.
 
Back
Top Bottom