bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Nayapenda sana makabila yote ya tanzania kwa maana na yenyewe yote yananipenda. Hii inajidhihirisha kutokana na mimi kuweza kwenda sehemu yoyote ya tanzania nikaishi pasipo na shaka yoyote. Mungu azidi kutusaidia tuendelee kuwa wamoja.