Wairaqw ndio kabila pekee Tanzania lenye watu serious, hakuna mwiraqw Fisadi, hawajui kusema uongo, ni wapole lakini wapo serious na kazi, hawapendi kuonewa wala kuona mtu anaonewa, hawadanganyiki. Kama Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka basi itutumie vizuri kuongoza nchi.
Sumaye, Merry nagu na yule balozi wa Tanzania nchini china halafu ni wabinafsi na wanafki sana kwao hawana maendeleo kabisa
Big up Iraqwian, watu safi, watu vichwa bright, watu makini, je kama siyo dr. Tlaa tungeujulia wapi huu ufisadi?
Wairaqw ndio kabila pekee Tanzania lenye watu serious, hakuna mwiraqw Fisadi, hawajui kusema uongo, ni wapole lakini wapo serious na kazi, hawapendi kuonewa wala kuona mtu anaonewa, hawadanganyiki. Kama Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka basi itutumie vizuri kuongoza nchi.
Wairaqw ndio kabila pekee Tanzania lenye watu serious, hakuna mwiraqw Fisadi, hawajui kusema uongo, ni wapole lakini wapo serious na kazi, hawapendi kuonewa wala kuona mtu anaonewa, hawadanganyiki. Kama Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka basi itutumie vizuri kuongoza nchi.
Wengi wao wanauchu wa madaraka sana ukiwa nao ofisi moja kama wewe ni mkuu wake atakufitini tu.
Nimefanya nao kazi vitengo mbalimbali wana tabia za kufanana.
Dk slaa ni mwiraqw ndo mana sio fisad na anapenda kuongea ukweli. Naunga mkono hoja
Dr Idrissa Rashid na Radar yake sijui yeye inelekea ni Mmbulu wa Kenya.