Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

platozoom, shem wako mwenyewe nimeshamfundisha. Sasa unadhani nikipiga kutaendaje? si nae ndie atajilipua kabisa? Aka mie nimewaachia nyie. Nalea mieeeee
 
Last edited by a moderator:
acheni umburula ww hizo takwimu umeokotea wapi au ulikosa cha kufanya, then take care kwani presider ni kabila gani.... W vp?
Mburula wewe ambaye umechukia kwa sifa za kabila lako! Raisi kuwa ------, haimaanishi kabila lake lina sifa nzuri! Wakwere ni kama wazaramo, wao ngoma, kahawa na bado ndo shughuli zao. Uvivu umewajaa mbaya!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa mujibu wa kichwa cha habari wakuu naomba kujuzwa, ni makabila gani kwa asili yetu watanzania ya kabila lao ni wavumilivu kiasi hichi kwenye mahusiano kwa maana wana moyo wa kuvumilia awe mwanamke au mwanaume kwa mfano amekosea kwenye vitu km uaminifu kwenye mahusiano, kutekeleza majukumu yake km mwenza wako! kuvumilia kwa mwenza wako japo unaamini moyoni mwako mpo pamoja, lkn kila siku anarudi kutoka kazini yupo BWIIIII!! kutoshirikiana kipato chenu wote kwa ujumla, kwa maana mimi na wewe tuna kiasi gani! au tunaingiza kiasi gani kwa siku? na mengine, mengi yanayokera kwenye mahusiano embu nijuzeni wakuu! KABILA GANI HILO??? kwa wanawake na wanaume lenye huu UVUMILIVU?? PLS!
 
nafikiri na wamasai wamo katika uvumilivu

si unajuwa ukiingia katika kibanda cha mmsai kumfurahisha mke wake .....unalotakiwa kufanya ni kuchomeka mkuki nje ya kibanda ili hero akija ajue tu ndani kuna mtu
 
wabena, hawa hujali sana ndoa zao . mkioana huwa wavumilivu sana katika ndoa na huwa hapendi kabisa kugombana katika ndoa .
 
Wamasai wamefungwa na mila swala la uvumilovu ni la moyo mwanamke wa kimasai anafungwa kwanza kwa mahari ilotolewa mf ilitolewa ngombe 20 baada ya 10 yrs watakua ngombe ngapi na kuna faida haziwezi lipwa pia mila haimruhusu kuachana na mumewe kwa visababu hivo in my own opinion huu si uvumilivu
 
Kwangu akina ngosha a.k.a sukuma people are at best ..wanawake ni humble sana na wanaume ni submissive sana
 
Kwanini uvumilie uzinzi? Kutokuhudumia familia? Kuwa bize na changu na kukosa muda na family? Ndo sifa za mke mwema?if dats th case am better off alone
 
Kwa wanawake (1) Waha ni wavumilivu sana kutembea kwangu kote sijapata kuona anae wazidi, tatizo usafi ni 0 wananawa miguu,uso na K basi (2) Wasukuma, hawa ni mama zangu siwezi kusemasana kwa kifupi nao wanavumilia tatizo unga wa miti
 
CHAGGA jaman hawa wanawake sijawahi ona uvumilivu, usafi ujasiri na mengineo Mungu aliyowabarikia nayo
 
Back
Top Bottom