Jirani mmoja alikuwa akimuazma jiraniye tololi la kuchotea maji daily,mwenye tololi akaona ni usumbufu kwa sababu kuna muda mwngne aktaka kulitumia anaambiwa limeazimishwa,cku moja akaona ule usumbufu ni mkubwa akaamua kununua tololi jipya na kumpa jiraniye ili asiazimwe azimwe na huyo jirani,jirani akashukuru.Kama mjuavyo majirani mtaani akatokea mwingne akaona donge akajsemea moyoni "kama yeye alimuazima tololi mwishowe akanunuliwa jipya ngoja nami nikamlilie hali"
Akaenda..akalianzisha lake,
Jirani:Habari,me hali yangu mbaya,naumwa umwa sana.
Jamaa: pole jirani,ushaenda hosptl kupata vipimo?
Jirani:Nimepima vipimo vyoote tatizo silioni.
Jamaa:hamna shida basi tuonane jioni
jiraniakafurah moyoni,ksha akaaga)
..jioni wakaonana..
Jamaa:ahaa jirani,umekuja!nimeamua nikuletee hizi zaga zaga naona zitakusaidia.
Jirani:ahsante(akatimka nazo)
kufika nyumbani kufungua SANDA!