Majirani wanamcheka mpenzi wangu

Au mwambie asiwe anakuja uwe unaenda wewe huko kwake.
Mi ningekuwa wewe ningeenda kwake siku moja nikapiga moto nguo zake zote za ovyo ovyo ili abakiwe na hizo nzuri tuone kama hatazivaa

Anaishi kwa ndugu yake.
 
Wengi weshakupa ushauri, ila naongezea kuwa; Mapenzi hayako kwenye nguo, yapo ndani yaani rohoni. Kumbuka kilichokufanya ukamtazama, je ni viatu leo anavaa malapa? Je! ni suruali leo anavaa kaptura?? Tena inaonesha weye ni mtu mzima tu, halafu unalalamika ati majirani wanakucheka. Ningekuwa mi ni weye, ningemkaribisha kwa bashasha zoote tu. Ukiingia kwe 6x6 lia mpaka wazibe masikio na aksante nyiiingiii mpaka waje kukuuliza hiyo zawadi ilikuwa ni nini.
Yaani weye bado upo una mind wapita njia?? Hivi tutafika kweli?? Hao majirani ni wivu tuu unawasumbua. Komaa na mshuwa wako
 
Thanks kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Mapenz ni hisia juu ya mtu husika so kama unampenda na kumthamin huna haja ya kuona aibu wanavyomcheka mpenzio amin kuna cku hao hao watakusifu na huyo mpenzio na wataona wivu kabisa believe me my sister
 
WW UNALALAMIKA MPENZI WAKO MCHAFUUUU NA UJUE ULIMPENDEA UCHAFU KWA KUA NA WW ULIKUA MCHAFUUU NA SASA UMETAKATAA AU ULIMPENDEA KAZI YAKE YA KUUZA DUKA AU ULIMPENDEA ULIKUA KILA ULITAKALO ANAFANYA NA NDIO MAANA MPAKA LEO UNAMPENDA??? The only option is
NJOO HUKU NI PM
 
Mapenz ni hisia juu ya mtu husika so kama unampenda na kumthamin huna haja ya kuona aibu wanavyomcheka mpenzio amin kuna cku hao hao watakusifu na huyo mpenzio na wataona wivu kabisa believe me my sister

Thanks kwa ushauri.
 
Hivi mwenyewe akijuwa kama una mdisi atajisikiaje. Pia unajisemea ww mtumishi wa serikali lakini mbona kama wa kusoma hivi chuo fulani- kama veta ,saut nk. Mie nakata wewe sio mtumishi wa uma ni kigonga ulimbo ambaye upo chuo unasubili matokeo yako kufereli Sawa Mr's zero. Sija penda kumdharau mwanaume mwezangu

Umetudhalilisha sisi tuliosomea SAUT sijajua kipi kimekutuma useme hivyo.
 
Muweke chin uongeenae aise mbona atabadilika tu au Kama vip chukuwa nguo zote piga kiberit alafu mnunulie nyingine!
 
Back
Top Bottom