Majirani wanamcheka mpenzi wangu

Hii ndo shida kuanza mapenzi ukubwani...dude habari hii ni ya kueleza watu wazima kweli? Kisha unajiita mtumishi serikalini? Serikali hii hii? Kweli tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa mwaka huu!

Hahahaaaaa
 
Hii ndo shida kuanza mapenzi ukubwani...dude habari hii ni ya kueleza watu wazima kweli? Kisha unajiita mtumishi serikalini? Serikali hii hii? Kweli tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa mwaka huu!

Wewe hujielewi kabisa kila sehemu unaingizia siasa lione.
 
Kumuoa hapana mimi ni ke

Mmmmh,kama ni kweli ulichosema basi,huyo mwanaume anataka akupime upendo,imani na uvumilivu wako juu yake! Pia wenye maduka wengi kama Wahindi na Waarabu hawapendi wahudumu/vibarua wapendeze au kula vizuri. Chunguza zaidi dada,lakn kama yuko sawa ktk thinkn and reasoning,no problem utambadilisha polepole tu.
 
Kazi unayo kwakweli, sipati picha unavyokuwa katika wakati mgumu kila anapokutembelea
 
Ila nataka kodi ikiisha nihame. Maana mambo ya kufuatilia wageni wa mtu sio vizuri

Au mwambie asiwe anakuja uwe unaenda wewe huko kwake.
Mi ningekuwa wewe ningeenda kwake siku moja nikapiga moto nguo zake zote za ovyo ovyo ili abakiwe na hizo nzuri tuone kama hatazivaa
 
Hivi mwenyewe akijuwa kama una mdisi atajisikiaje. Pia unajisemea ww mtumishi wa serikali lakini mbona kama wa kusoma hivi chuo fulani- kama veta ,saut nk. Mie nakata wewe sio mtumishi wa uma ni kigonga ulimbo ambaye upo chuo unasubili matokeo yako kufereli Sawa Mr's zero. Sija penda kumdharau mwanaume mwezangu
 
Back
Top Bottom