collezione
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 352
- 178
Jamani uku kwetu morogoro, majina yetu hayapo kwenye vituo vya kupiga kura mbaya zaid tumeletewa majina ya ndugu zetu marehemu...na kuna watu wengine majina yao yametokea kwenye kituo zaidi ya kimoja
tukilalamika kwa wawakilishi wa nec,
wanasema hawawezi kubadili, tumechelewa. Na wakati majina yamebandikwa jana....je hii ni haki kweli?
tukilalamika kwa wawakilishi wa nec,
wanasema hawawezi kubadili, tumechelewa. Na wakati majina yamebandikwa jana....je hii ni haki kweli?