Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

Asprin.....kasisi wa kanisa la pentekoste....anayependa kuhubiri muda mrefu mpaka waumini wanasinzia........

Na akitoka chachi anaenda Fyatanga kupiga ulabu (NOTE: copy kwa Asprin)
 
Last edited by a moderator:
Naona unamzungumzia Madame B ambaye bado kuzaliwa.

Na ile tabia yako ya kipica chabo watu wakingonoka ushaiacha? Nakumbuka walivokupopoa na spoku pale VIP gest. Hivi wangekutoboa macho ungemwambia nini mama? Hatar @ ina maana jamaa anachongo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom