Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Wana JF, kama ilivyo majina mengine, mtu anapojipachika ID humu JF anakuwa na maana yake. Kwa IDs zao au michango yao, unaweza kuhisi hulka au tabia zao. Haya ni mawazo yangu juu ya wafuatao:
IGWE, mtu mfupi, mbishi, anapenda kunyenyekewa.
Mwanakijiji. mdogo, mwembamba, mbishi mwenye uwezo wa kujenga hoja. Hata hivyo yu tayari kukubali anapokosea.
Cacico. Dada mtulivu, mwenye mapozi but but very loving.
Smile. Aliwahi kutoswa kwenye mahusiano, haamini mtu, yuko tayari kuwa single, liwalo na liwe.
 
tangu nizaliwe siijui gesti na kunywa sinywi achilia mbali kungonoka.

Naona unamzungumzia Madame B ambaye bado kuzaliwa.

Na ile tabia yako ya kipica chabo watu wakingonoka ushaiacha? Nakumbuka walivokupopoa na spoku pale VIP gest. Hivi wangekutoboa macho ungemwambia nini mama?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hebu msome Preta hapo juu.

FYI neno la Preta ni amri Atown na lina baraka za Bikira Maria. Akisema Filipo anatia muhuri, PakaJimmy anaweka signature na Mzee wa Rula anahifadhi kwenye mafaili tayari kwa utekelezaji.

Copy kwa Blaki Womani na sweetlady kwa utekelezaji zaidi.

Hajapata baraka za wenye mji akina Arushaone na Erickb52
na may be uingie kimya kimya usionekane ila kwenye viunga vya mji tutakusaka na mapanga maana machalii wa atown hawana huruma
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom