Jackson Barnabas
Member
- Jun 22, 2013
- 61
- 3
watu wa nacte wamepewa au f6 tu???
mimi ni wa Nacte na nimepata 100%
watu wa nacte wamepewa au f6 tu???
Jamani Eshy...
Mungu si Athumani...
Nimevuta manoti mengi mpaka naogopa.....
EEH MUNGU NIPE MBINU ZA KUWAZULUMU OLAS MUDA WA MAREJESHO UKIFIKA....
hahahaa! kurudisha must wangu, hongera! una mia nini?
kwa hyo 30 yangu ndo kama kamali imeenda siyo???
Ni Mungu yupi huyo unayemwomba mbinu za kudhulumu pesa za watanzania? Nadhani huyo Mungu wako hana tofauti na yule wa Al-shabaab.
hahahaa! kurudisha must wangu, hongera! una mia nini?
ulikuwa wap muda wote huo tangu saa kumi na moja jion mzigo ulikuwa hewan!Mungu wangu kumbe mambo yamekwiva hata kunistua hakuna
Huyu mungu ni mungu wa majeshi (wafalme 5:7)
Na wajeshi wenyewe ndio sisi (jkt),wale al shabaab si majeshi ni magaidi (watafute mungu wao)
John 3:16
"For God so loved the world,that he gave us his only begotten son,that who ever shall believe in him shall have an everlasting life"
"Leteni mizigo yenu nami nitawatua"
EH MUNGU NIPE MBINU YA KUWADHULUMU HESLB
ulikuwa wap muda wote huo tangu saa kumi na moja jion mzigo ulikuwa hewan!
petroleum chemistry (udsm)
Kwa hiyo kozi wacha ulambe kila kitu ila uungwana ni vitendo jama waliolamba pesa za bodi time ikifika turudishe ili wenzetu nao wapate