Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Jamani Eshy...

Mungu si Athumani...
Nimevuta manoti mengi mpaka naogopa.....

EEH MUNGU NIPE MBINU ZA KUWAZULUMU OLAS MUDA WA MAREJESHO UKIFIKA....

Ni Mungu yupi huyo unayemwomba mbinu za kudhulumu pesa za watanzania? Nadhani huyo Mungu wako hana tofauti na yule wa Al-shabaab.
 
Last edited by a moderator:
Ni Mungu yupi huyo unayemwomba mbinu za kudhulumu pesa za watanzania? Nadhani huyo Mungu wako hana tofauti na yule wa Al-shabaab.

Huyu mungu ni mungu wa majeshi (wafalme 5:7)

Na wajeshi wenyewe ndio sisi (jkt),wale al shabaab si majeshi ni magaidi (watafute mungu wao)

John 3:16
"For God so loved the world,that he gave us his only begotten son,that who ever shall believe in him shall have an everlasting life"
"Leteni mizigo yenu nami nitawatua"

EH MUNGU NIPE MBINU YA KUWADHULUMU HESLB
 
mwenye uwezo atupie hiyo link ambayo unaweka info zako alafu unajua kama umepata au la ili atusaidie siye weye visimu vya kichina.
 
Huyu mungu ni mungu wa majeshi (wafalme 5:7)

Na wajeshi wenyewe ndio sisi (jkt),wale al shabaab si majeshi ni magaidi (watafute mungu wao)

John 3:16
"For God so loved the world,that he gave us his only begotten son,that who ever shall believe in him shall have an everlasting life"
"Leteni mizigo yenu nami nitawatua"

EH MUNGU NIPE MBINU YA KUWADHULUMU HESLB

mna roho mbaya hata kuniambia nichekie
S0297/0005/2010
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom