Jackal Malinza
Member
- Aug 28, 2013
- 33
- 4
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept