Majina ya walimu shahada haya hapa

Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana
 
Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana

mkuu hayo majina ni rasmi kutoka website ya tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja, mana mi naingia website ya tamisemi siyaoni?
 
me nimechoka na matangaZo yenu maana mnasema majina haya hapo then hayaonekani mana ake nn sasa
 
--



15/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WAPYA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14
pdf.gif
Tangazo
pdf.gif
Walimu Wa Cheti (Daraja IIIA) Kwa Ajili Ya Shule Za Msingi 17,928
pdf.gif
Walimu Wa Stashahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 5,416
pdf.gif
Walimu Wa Shahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 12,677
15/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WA SHAHADA WALIOPANGWA VYUONI MWAKA 2013/14

AU MNAWEZA TEMBELEA HAPA ( Jobs Online Tanzania: AJIRA MPYA YA UALIMU 2014 )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom