Barabara za mitaa zimepewa majina yasiyo endana na historia

Dugwai

Member
Dec 21, 2023
34
33
Habari za mchana JF members

Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo.

Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k

Ila kwa mtazamo wangu naona hayo majina yanaua historia za maeneo hayo kwa sababu kwenye maeneo hayo kuna watu maaruf ambapo ingependeza kama hayo maeneo yangeitwa kwa majina yao au majina mengine ambayo ni ya kipekee ambayo yangelitambulisha maeneo hayo.

Sawa majina haya ya Chato, Mikumi n.k ni majina ya maeneo maaruf hapa nchini ila haipendez kila sehemu iitwe hivyo.

By Dugwai
 
dugwai mawe umesema kweli kabsa unakuta mkuu wa wilaya kaja kuzindua barabara basi mtaa unapewa jina lake bila hata kuwashirikisha wananchi that's bullshit
 
Mitaani humu ilikuwa kama una laki moja mtaa unapewa jina lako.

Kuna mitaa ilikuwa na majina ya historia ya miaka na miaka ila ghafla inapewa jina la mbwiga mmoja aliepanga nyumba tu huo mtaa kwa vile katoa laki moja.
 
Mitaani humu ilikuwa una laki moja mtaa unapewa jina lako.

Kuna mitaa ilikuwa na majina ya hisoria ya miaka na miaka ila ghafla inapewa jina la mbwiga mmoja aliepanga nyumba tu huo mtaa kwa vile katoa laki moja.
Binafsi mm kama kijana/mkongwe wa kinondoni nililetewa pendekezo mtaa waweke jina langu nkawakatilia
Kuna jamaa yangu mmja baharia anaitwa said rubama yeye mtaa wke
Ulipewq jina lake

Ova
 
Back
Top Bottom