Majina ya Wakenya

Kwahivyo Baba akiwa Mhaya na Mama Mluguru, ndio inahalalisha watoto wao kuitwa James Michael David na Ann Michael David? Umesikia lini hao ngozi nyeupe mnaowaiga wakiitwa majina kama Mungai, Kunle au hata Kaguta? Aliyekuambia Kenya watu wa makabila tofauti huwa hawaoani ni nani?

Nchini Kenya kuna makabila ambayo yana muingiliano mkubwa sana, tena tangia jadi kabla ya ukoloni. Kwa mfano utapata watu wenye majina ya Kikikuyu ila lugha na tamaduni zao ni za kimaasai. Kuna hadi makabila ambayo yalimezwa kabisa na makabila mengine na yakapotea kabisa. Kwa mfano wakikuyu walimeza kabisa makabila mawili madogo yaliyoitwa Gumba na Athi.
Nilikuwa naongelea hoja ya kujua lugha ya kabila kwa mtoto kabla ya kujua kiswahiliau kiingereza naona umekwepa hilo umerukia kwenye majina ya watoto kitu ambacho sikukipinga ndiyo maana nikasema kuna mazuri yake kwenye hilo japo mabaya ni mengi kuliko mazuri.

Haya kwasababu umehamia kwenye suala la kuona makabila tofauti Kenya basi twende huko. Hivi unataka kusema kuwa kuoana makabila tofauti siyo jambo la nadra kenya? Kama wewe ni mtanzania hebu fikiria jamaa zako wa karibu ni wangapi wameoa au kuolewa na watu wa makabila yao? Yaani ni wa kumulika kwa tochi.
 
Hebu niambie hata kwa kifupi tu, Kiswahili kinafana vipi na Kiarabu? Mimi nimekutajia jinsi kisivyofanana kuanzia kwenye muundo na maneno. Kama ni msamiati michache kila lugha imechangiwa misamiati na lugha nyingine

Haya, unatolea mfano sana hiyo China na Urusi, mimi nikakuuliza China na Urusi ni nchi moja zenye lugha moja, hazina makabila, Kenya au hao wengine wanafanana kivipi na hilo?

Halafu umesema kuwa na ndugu ama familia sio ishu? Yaani ku belong kwenye kabila flani ni muhimu kuliko kuwa na famila na ndugu?😂😂

Kiarabu kimetumika sana kwenye kubuni Kiswahili, nimekuambia fuknyua nyuzi ningi humu tulijadili sana hilo, ningekua na muda ningefanya copy pasting maana hilo tulilimaliza, mwarabu alichanganya lugha zetu za asili na lugha yake ili kubuni Kiswahili, enzi hizo wakati anabaka mababu zetu.
Mifano ipo mingi tena maelfu ya namna gani Kiarabu kilitumika kubuni Kiswahili, michache tu hii
Jina Swahili limetoholewa kutoka kwa neno la Kiarabu sahil
Sita (6) limetoka kwa neno la kiarabu (sitta) ستة
Saba (7) limetoka kwa neno la kiarabu (sab'a) سبعة
tisa (9) limetoka kwa neno la kiarabu
(tis’a) تسعة

Wachina wanaongea lugha zao za asili, hwajawa mazezeta wa kutelekeza asili yao kama mlivyofanya huko, mnaishi kama Wamarekani weusi ambao mababu zao walichukuliwa utumwani na kunyang'anywa asili yao....
Hao huko wana ndugu na majirani kama unavyojivunia, sote tuna hao ndugu na majirani na mabinamu, ila nyie mumekosa asili, mmetelekeza lugha yenu ya asili na kuishi siku ziende tu.

Angalia Wachina wanavyojivunia asili yao, urithi wao, lugha zao za asili...

chinese-language-dialects-locations-and-numbers.png
 
So, kuna mananeno ya Kiarabu yanayotumika kwenye Kiswahili, ndio yapo, hata ya Kiingereza, Kihindi, pia yapo, lugha yoyote ina maneno yenye asili ya lugha nyingine

Swala ni asilimia ngapi ya maneno ya Kiswahili yanatokana na Kiarabu? yanaweza kuwa maneno mwngi kiasi cha kumfanya mzungumzaji wa Kiswahili kuelewa kiarabu? Hata kidogo

So utasemaje Kiswahili kimeundwa na Waarabu wakati Muarabu mwenyewe hakielewi? Na unaoosema kuna uzi umeeleza ona maana wewe hujui ila inasema sababu uliona uzi unasema?

Unasema lugha ni ya mtu fulani lakini huyo mtu haelewi hiyo lugha?

So China lugha wanayotumia rasmi ina asili ya China, Kenya mkiwasiliana rasmi mnatumia lugha gani? Rais na serikali wanatumia lugha gani kuwasiliana? Ama wamekosa kabisa lugha inaywafaa hadi kutumia hizo za wakoloni?
Au hawajielewi?

Halafu kuna swali moja unakwepa, nimekuuliza nchi kama Sweden, Norway, Korea n.k haziendekezi makabila, ni nchi moja lugha moja, so hizo nchi kuna kitu gani zimezidiwa na nchi kama Kenya ?
 
Sio yanatumika tu, ila yapo kwenye maneno ya msingi kabisa kwenye Kiswahili, yaani uti wa mgongo wa Kiswahili, hauwezi ukahesbu moja hadi kumi bila kutumia humo maneno ya Kiarabu, yaani kuanzia kwa jina swahili ambalo limebuniwa kutoka kwa jina sahil la Kiarabu hadi maneno mengine mengi.
Sababu za mwarabu kutoweza kuongea Kiswahili ni kwa sababu haya maneno yametoholewa na hayajatumika moja kwa moja, mababu za waarabu waliobuni Kiswahili walikua wanatohoa na kuchanganya na maneno ya lugha za Kibantu.

Hayo mataifa unayonitajia sijui akina Sweden, wao wanaongea lugha zao za asili, hawakutelekeza kama mlivyofanya, unakuta wanaongea lugha iliyokua inatumiwa na mababu zao tangu tangu tangu kuleee!!! Wanaboresha tu maneno lakini lugha ni ile ile, ila nyie hapo ujinga kabisa lizee lizima la miaka sitini halijui hata salamu kwa lugha yake ya asili, limeganda kwenye Kiswahili hiki hiki cha mwarabu....hehehehe!! Huwa nacheka sana kwa mlivyo jameni.
 
So nimekuambia kiswahili kinafana vipi na kiarabu ukanitajia misamiati michache unayosema ni ya kiarabu, huo uti wa mgongo hujauelezea ipoje
Kiswahili kina maneno mengi ya kiingereza pia, so kiswahili ni kiingereza? Kina maneno mengi ya kilingala pia, so Kiswahili ni kilingala?

Kiingereza kina maneno ya kihindi pia, so tuseme pia kiingereza ni kihindi?

So hebu elezea Kiswahili kimetokana na kiarabu kivipi maana kimuundo ni tofauti, kisarufi ni tofauti, misamiati haifiki hata asilimia 5, so ni kiarabu kwa namna gani

So Sweden wana lugha yao moja, hawana makabila, mtu akiwa ba familia yake na ndugu zake jamii yaje nyingi aliyonayo hakuna zaidi ya nchi yake, Kenya wewe unajivuna kuwa kabila ni muhimu, kuwa na familia tu haitoshi unapaswa kuwa na kabila pia kwani hata mateja wana familia, so swali langu liko pale pale, wananchi wa Sweden amao hawana kingine zaidi ya familia wanakosa nini ambacho wewe mwenye kabila kisha nchi ndio inafuatia?

And Kuna swali hujajibu tena, Kenya lugha yenu rasmi ni ipi? Rais akitaka kuongea na wananchi wake itabidi atumie lugha gani?
 
Kabla ya Kiswahili ku-borrow maneno ya Kingereza, kwanza ilimbidi mwarabu akibuni kwa kutohoa maneno yake na pia kujumuisha na ya kibantu, maneno ya msingi sana ikiwemo hata jila lenyewe la swahili.
Hamna jamii hata moja hapa Afrika ambayo Kiswahili ni lugha yake ya asili, hata jamii zetu za Pwani zote hao huko Wazaramo na Wadigo, wote wana lugha zao za asili.

Jamii ya Pwani ya Kenya ya Wangozi ndio Mwarabu alianzia kubuni Kiswahili kwa kutumia lugha yao, kikaja kuzagaa hadi leo hii unakuta Msukuma mzee mzima ametelekeza Kisukuma na kuita Kiswahili eti lugha yake ya asili, ushamba uliopitiliza.
Hao Sweden nimekuambia wanatumia lugha yao ya asili ya tangu enzi za mababu zao, hawajawa na ujinga wa kuitelekeza kama mlichokifanya kwenu huko.

Sisi tuna lugha zetu za asili ambazo tunazi enzi, ila ikitokea tunahitaji kuwasiliana na watu wasio wa asili yetu, inatubidi tutumie lugha inayoeleweka na wote, kwa mfano rais akihutubia taifa inambidi aidha atumie Kiswahili au Kingereza, hizo lugha za kuja sema tu zinaeleweka na wengi, umuhimu wa lugha ni kuwasiliana na kuelewana.

Siwezi nikafanya ushamba wa kuhamia niongee Kiswahili pale nimetembelewa nyumbani na ndugu wa asili yangu, ulimbukeni na utumwa wa ajabu sana huo....heheheh huwa mnatia aibu sana nyie watu.
Kitambo nikiwa kijana mjini nilikua naona haya kuongea lugha yangu ya asili, ila utoto uliponitoka nikakomaa kiakili ikabidi niwe naitumia panapostahiki, ila nyie hapo mzee mzima hajui hata salamu, amemezwa mzima mzima....mnaendelea kuwa jamii ya watumwa wa akili.
 
So Mwarabu ndio ali create lugha ya Kiswahili lakini haielewi lugha ya Kiswahili? Nonsense ya wapi hii

Nimekupa homework ndogo tu, ingia Google nenda ka translate haya maneno tunayoandika hapa kwa Kiarabu kisha urudi hapa uniambia Kiswahili ni lugha ya kiarabu namna gani, unapuyanga tu

So Sweden hawana makabila ila mambo fresh, so tunakubaliana makabila sio muhimu sio?

Halafu mbona hujibu Swali langu Kenya mna lugha gani rasmi ya mawasiliano?
 
Mababu wa mwarabu ndio wali-create Kiswahili kwa ku-borrow maneno ya kiarabu na kuchanganya na maneno ya kibantu, japo kwa kuyatohoa kiasi kwamba vitukuu vya waarabu vya leo haviwezi kuelewa Kiswahili maana maneno yenyewe yanapishana na kwao, kwa mfano neno Swahili japo limetoka kwa neno la Kiarabu Sahil, inakua vigumu kwa kitukuu cha mwarabu kuelewa.

Sweden wanatumia lugha yao ya asili, hawajawa watumwa kama nyie, wao wapo kama sisi ambao tunatumia lugha zetu za asili, yaani raha sana, hauwezi ukajua utamu wa kutiririka lugha yako ya asili, inakupa sense of belonging, unahisi kama mtu mwenye asili sio utumwa.

Swali lipi, yes lugha tunazo rasmi ambazo ni Kiswahili na kingereza zinatuwezesha kuwasiliana baina ya watu wa asili tofauti, ila ndugu wa asili yangu akinitembelea lazima tuingie kwenye lugha yetu adhimu ya asili.

Haya na wewe ni jibu swali langu, jamii gani hapa Afrika ambayo Kiswahili ni lugha yao ya asili tangu jadi.
 
1: NDINDI NYORO
2: MUSALIA MUDAVADI
3:RAIRA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI?

Weka na wewe Majina ya wakenya unayoyajua uondoe
Hatuna uzungu, hiyo ni stereotype mliyotuwekea kimakosa. We are very African. Nimegundua Watanzania wengi mnapenda kujiita majina mawili ya kizungu. Huo ndio uzungu.
 
Mababu wa mwarabu ndio wali-create Kiswahili kwa ku-borrow maneno ya kiarabu na kuchanganya na maneno ya kibantu, japo kwa kuyatohoa kiasi kwamba vitukuu vya waarabu vya leo haviwezi kuelewa Kiswahili maana maneno yenyewe yanapishana na kwao, kwa mfano neno Swahili japo limetoka kwa neno la Kiarabu Sahil, inakua vigumu kwa kitukuu cha mwarabu kuelewa.

Sweden wanatumia lugha yao ya asili, hawajawa watumwa kama nyie, wao wapo kama sisi ambao tunatumia lugha zetu za asili, yaani raha sana, hauwezi ukajua utamu wa kutiririka lugha yako ya asili, inakupa sense of belonging, unahisi kama mtu mwenye asili sio utumwa.

Swali lipi, yes lugha tunazo rasmi ambazo ni Kiswahili na kingereza zinatuwezesha kuwasiliana baina ya watu wa asili tofauti, ila ndugu wa asili yangu akinitembelea lazima tuingie kwenye lugha yetu adhimu ya asili.

Haya na wewe ni jibu swali langu, jamii gani hapa Afrika ambayo Kiswahili ni lugha yao ya asili tangu jadi.
Nashangaa unavyopoteza muda na mtu asiyejielewa. Kiarabu ni zaidi ya 35% ya Kiswahili, mtu akiongea Kiswahili Muarabu anajua kuwa lugha hiyo imejaa maneno mengi ya Kiarabu.
Kuna maneno mengi ya Kiswahili sikuwahi kudhania kuwa ni ya Kiarabu hadi nikawasikia Waarabu wakiongea. Maneno kama wali, samaki, bamia, dukani, dakika, saa, kabila n.k ni Kiarabu.
Kiswahili ni lugha ya kikoloni kama Kiingereza, ni matunda ya biashara ya utumwa ya Waarabu. Unahitaji kuwa punguani kujivunia Kiswahili.
 
So Mwarabu ndio ali create lugha ya Kiswahili lakini haielewi lugha ya Kiswahili? Nonsense ya wapi hii

Nimekupa homework ndogo tu, ingia Google nenda ka translate haya maneno tunayoandika hapa kwa Kiarabu kisha urudi hapa uniambia Kiswahili ni lugha ya kiarabu namna gani, unapuyanga tu

So Sweden hawana makabila ila mambo fresh, so tunakubaliana makabila sio muhimu sio?

Halafu mbona hujibu Swali langu Kenya mna lugha gani rasmi ya mawasiliano?
Hata Afrika hakukuwa na makabila, Wazungu ndiyo walianza kuita mataifa waliyotakuta makabila.
Uhaya, Unyakyusa, Umaasai n.k ni mataifa yaliyokuwa yanajitegemea kabla ya kuitwa makabila na Wazungu.
Sifa ya kuwa taifa moja ni kuwa na lugha moja ya asili na watu wa aina moja. Wewe kama unachukia asili yako waache watu wajivunie asili yao.
Usilete mfano wa nchi za Ulaya maana hizo zilizaliwa na watu wa jamii moja kwa asilimia kubwa. Waswidi wana lugha moja na hata kinasaba wana asili moja. Huwezi kuwachanganya Wanyamwezi na Wamaasai halafu useme ni nchi moja wakati ni jamii tofauti zenye lugha na historia tofauti kabisa.
 
Wabongo wasioweza kuunda hata sentensi moja kwa Kingereza wanaitwa John Peter Michael au Abdallah Hussein Ally. Tena sasa wanashindana kuwapa watoto majina ya ajabu ajabu unakuta mtoto mweusi na kipilipili kichwani anaitwa Cookie. Ni fedheha hawa wamatumbi.

🤣 🤣 🤣
 
Mkishakuwa nchi moja yenye makabila tofauti na kila kabila likawa too proud na utamaduni wake basi lazima kutakuwa na migawanyiko ambayo huzua chuki na vurugu ambazo wanasiasa na hata mataifa ya kigeni huzitumia kwa faida yao,

Kuondoa hali hiyo inabidi kujenga tu nchi yenye utamaduni mmoja ikiwemo lugha moja

Kiswahili kinaongelewa na wananchi karibu wote na pia kina maneno mengi yenye asili ya makabila ya Kenya, Congo, Tanzania n.k so sio mbaya ikachukuliwa kama lugha ya asili kuliko ya kigeni.

Ingekuwa jambo zuri kama ukanda wa Afrika mashariki na kati tungekuwa na lugha moja iliyoundwa kutoka lugha za makabila ya nchi zetu, bahati mbaya kila mtu yupo too proud
Kwahiyo unaona ni sahihi kuua makabila yote Tanzania na kuacha kabila moja la Waswahili?

Are you thinking correctly?
 
Sijasema ubaguzi unaisha makabila yasipokuwwpo, ila baguzi mkubwa unaoleta migogoro mingi nchi za ulimwengu wa 3 ni ukabila, nimekutajia nchi kadhaa ambazo kumfanyika mauaji na yote ni sababu ya ukabila.
Na sijasema pia Tz ipo free na ukabila, makabila yapo na washamba wanaondekeza ukabila wapo.

Kabila halina chochote zaidi ya illusion za kijinga tu, sio kuwa mtu wa kabila lako ndio mzuri kuliko wa kabila jingine, ni upuuzi unaotokana na ubinafsi na kutokuchangamana
Utaondoka makabila kama makabila

Wananchi watakua hawana identity zao za asili,wanajikomba na identity fake ya Uswahili ambayo ni identity original ya mtu wa Pwani na Zanzibar Makunduchi

Baada ya hapo hawa watu watakua wanafata utamaduni wa mtu mwingine

Ubaguzi ni ubaguzi..leo umeondoa makabila....mwanadamu atatafuta kitu kingine kama sababu ya kubagua mtu

Atatumia kipato,rangi ya ngozi yake,level ya elimu yake,jinsia,rangi ya ngozi,etc...akitumia hivyo hapo utafanya nini?

Kuua asili na lugha za watu walizonazo tangu miaka 8,000 iliyopita eti kwa kuogopa ubaguzi then itabidi ufute vipato,rangi za ngozi,level za elimu,jinsia za watu,etc ili wasigeukie hayo kubaguana

Fanya unachotaka,wanadamu hutafuta kitu chochote kubagua mwingine...utafuta kila kitu dunia hii?

Hebu wacha watu na tamaduni zao na lugha zao na ancestral lands zao,issue ni understanding na kuelewana...ushenzi wa kuua makabila asili ya watu badala ya kuya preserve kulinda original identities za watu wako kuwapa meaning na linkage with their ancestors ni another genocide
 
Back
Top Bottom