Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
ryan gigs
Bora usijue,wanasave kwa majina mabaya sana!Sijaona akina dada wanavyosevu vibuzi vyao!
Wengine wanasevu kwa majina kushusha hadhi, Mpika chips! utatamani upasuke kwa hasira hapo!Bora usijue,wanasave kwa majina mabaya sana!
atm,usafiri,malazi,mjinga,bot.sijaona akina dada wanavyosevu vibuzi vyao!
customer care
afande ......
fundi....
dharula
tanesco
dawasco
boss
tuition tcha