Majina mengine na viunganishi ni utata kabisa... sikia hii stori

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Kulikuwapo na watoto wawili KISA na NATO.
Siku moja NATO alikuwa amenunua kitu chake kinaitwa RAWE; na akawa ajidai nacho kwa KISA kama ifuatavyo.

NATO: Kisa rawe yangu x3… (huku anapandisha sauti)

Bahati mbaya wakati Nato anafanya majigambo haya akatokea mbwa; na Kisa akawa ndo wa kwanza kumwona mbwa huyu. Kisa akaamua amhadharishe mwenzake, Nato juu ya mbwa kama ifuatavyo.

KISA: Nato (weka jina la mnyama huyu) x5 ….

Na uwe makini usitoe sauti kubwa watu wanaweza kujua unaliwa wewe (mtandao wetu ule)!

Na huu ndo ukawa mwanzo wa hayo maneno mawili.:blah: :argue:
 
Jamani hiyi ya mbwa si nilikuwa nasoma kwanguvu hapa job lol! nikapiga kelele NATOMB**AAA lol nimekomaje, nimeenda :sleepy:kuchekea chooni
 
Kulikuwapo na watoto wawili KISA na NATO.
Siku moja NATO alikuwa amenunua kitu chake kinaitwa RAWE; na akawa ajidai nacho kwa KISA kama ifuatavyo.

NATO: Kisa rawe yangu x3… (huku anapandisha sauti)

Bahati mbaya wakati Nato anafanya majigambo haya akatokea mbwa; na Kisa akawa ndo wa kwanza kumwona mbwa huyu. Kisa akaamua amhadharishe mwenzake, Nato juu ya mbwa kama ifuatavyo.

KISA: Nato (weka jina la mnyama huyu) x5 ….

Na uwe makini usitoe sauti kubwa watu wanaweza kujua unaliwa wewe (mtandao wetu ule)!

Na huu ndo ukawa mwanzo wa hayo maneno mawili.:blah: :argue:
Umekosea sana, huyo mnyama anitwa M'bwa sio mbwa
mmezoea mitusi tu,,,,mxghrtxxgff!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom