Majina haya yana maana gani

Haya tena mapya! Ni comments lakini utafikiri ni headin' ya post ! Duuh !
B52 ,
nakuamini askari wangu jibu mapigo hayo!
Naona kama kakugonga uppercut maeneo ambayo WBC hawaruhusu. (kama vile chini ya kitovu n.k)
Hahahahaaa naona wanaleta sifa mbaya kwetu ila hata hivyo tuko juu sana
 
Ericky...
wanapenda marinda...
chapombe...haswa konyagi.
watanashati...(a.k.a wananukia)
Kuna vitu sikatai km kuonja ndovu kidogo ila si konyagi....Kumbuka ndovu huwa ni kwa afya bora tu....
 
SweetLady we unanijua vema.....iambie jamii ukweli km mi nina sifa hizo....
Wasifu wa Erick wote:
1.Wapole sana
2.Wastaarabu sana
3.Wako makini sana na kila kitu wafanyacho
4.Hawana makuu
5.Wanapenda watu wote
6.Wanamcha Mungu
Ila kinywaji kikikolea namba 1 na 2 hapo juu hupotea ghafla.
 
muite KAPALAMPYA ukienda RITA lazma wawe shocked na watakupa zawadi ya cheti cha mtoto bure.
 
Kwanza mi si mshirika hata kidogo...hapa nawazungumzia wajina wenzangu....unaweza kuta hata wewe ni Erick sema hatujui tu

Hahahaaa. Nina my best frends watatu wote ni wa jina lako na ni wanywaji haswa ila pia wana hizo tabia ulizo weka hapo juu ila wakishakua keroro namba 1,2 na 4 wanaziweka mfukoni mpaka wakiwa sober.
 
Hahahaaa. Nina my best frends watatu wote ni wa jina lako na ni wanywaji haswa ila pia wana hizo tabia ulizo weka hapo juu ila wakishakua keroro namba 1,2 na 4 wanaziweka mfukoni mpaka wakiwa sober.
Hahahaaaaaaa safi sana siunajua inawezekana wanakuwa na furaha sana km majina yao yasemavyo....
Yah unajua akina Erick ni stressfree kila siku....
 
Back
Top Bottom