Majimbo yaliyotuletea magamba 2010

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Jamani watz wenzangu nyerere aliwahi kusema bila ccm mdhubuti nchi yetu itayumba.sasa kwa vile alikuwa anaongea wakati wa chama kimoja ingekuwa sasa angesema bila chama makini nchi yetu itayumba.na kwa vile ili uwe serikalini lazima uchaguliwe na wananchi na kwa vile ccm imekiri inajitoa gamba basi ni wazi kuna wananchi wenzetu kwa kujua au kutokujua au kwa njaa zao wammetuchagulia magamba yaliyoiumiza nchi yetu.sasa naomba tuorodheshe hayo majimbo ili mwaka 2015 watuletee watu makini.
Naanza mtaendeleza.
1.bariadi mashariki
2.igunga
3.musoma vijijini
4bunda
5.gairo
6.monduli
7.........
8............
9..........
Nawakilisha wakuu
 
12. NEC
13 Usalama wa Taifa
14 Ukanda wa Pwani

Note: 12,13,14 yalimsimika JK ambaye naye ni GAMBA GUMU
 
Back
Top Bottom