Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

this is great not to bad at all........... keep positive thinking....:smile-big:
 
Wadau naomba tuweke majimbo yote ambayo chadema imeshinda (Ni yale ambayo Nec imethibitisha):-

1. Moshi Mjini
2. Arusha Mjini
3. Meatu
4. Musoma Mjini
5. Iringa Mjini
6. Maswa Mashariki
7. Maswa Magharibi
8. Mbeya Mjini...
Nikati ya majimbo tuliyotegemia mkuu Tunashukuru!
 
Nadhani ungerekebisha ikawa hivi

Chadema CCM
Maswa Mgh. Tarime
Mkuu una maana tuweke na tuliyopoteza..? Kumbuka chadema walikua na majimbo 5 tu kwahiyo yaliyopotea ni rahisi kuyajua ukizingatia mengi wameweza kuyatetea na kuyarudisha...!
 
Ok kuna thread zingine nyingi kuhusu hii so thanks kwa taarifa zaidi
 
Musoma mjini
Kigoma kaskazini
Ubungo
Moshi mjini
Hai
Sumbawanga mjini
Nkasi kaskazini
Kahama
Arusha mjini
Karatu
Kiteto
Iringa mjini
Mbeya mjini
Mbeya vijijini
Nyamagana
Ilemela
Mbulu
Songea mjini
Mbozi mashariki
Maswa mashariki
Ukonga
Kawe
Kibaha mjini
Arumeru
Serengeti
Singida kaskazini
Biharamulo
Segerea
Rombo
Hanang
Ulanga Magharibi
Meatu
Maswa Magharibi
Maswa Mashariki

NB: Kama kuna jimbo nimelisahau naomba mnifahamishe

kuna mtu nilimtabiria yuko kanada kwa bomba analolipiga Mwanachama wa zamani wa CCM aliyehamia upinzani Dr Slaa katika uchaguzi huu wanaweza kupata kati ya viti 30 hadi 50 vya ubunge naona nimempiku Sheikh Yahya..! Hongera Chadema...msipogombania ruzuku mwaka 2015 watanzania makini wasiokuwa na chuki watajiunga na nyinyi kumalizia kazi..teheeheee..! narudia angalizo msitomboke , msiwe walafi wala kuwa hamujambuiliki ..Watanzania sio wa kuchezea..wanakupimeni je ni kweli..?.. mkumbuke yaliyowakuta NCCR-Mageuzi..! Akili ni nywele kila mtu ana zake!
 
Musoma mjini
Kigoma kaskazini
Ubungo
Moshi mjini
Hai
Sumbawanga mjini
Nkasi kaskazini
Kahama
Arusha mjini
Karatu
Kiteto
Iringa mjini
Mbeya mjini
Mbeya vijijini
Nyamagana
Ilemela
Mbulu
Songea mjini
Mbozi mashariki
Maswa mashariki
Ukonga
Kawe
Kibaha mjini
Arumeru
Serengeti
Singida kaskazini
Biharamulo
Segerea
Rombo
Hanang
Ulanga Magharibi
Meatu
Maswa Magharibi
Maswa Mashariki

NB: Kama kuna jimbo nimelisahau naomba mnifahamishe
Mkuu umerudia majimbo mara mbili, ie. "Maswa Mashariki"
 
Kwenye orodha yako maswa mashariki iko mara mbili. Jambo linalotia moyo ni kuwa lengo limetimia vyema. Tunahitaji kujiweka vizuri kwa ajiri ya 2015. Hatua imepigwa na imeonekana. Hayo ndo matunda ya operationi Sangara. Tuendelee kusikia habari za matokeo mapya!
 
Mi nakwambia wee acha tuu yaani huko mjengoni
hakuna kulala kutakuwa so challenged
mzee wa kinywaji vipi huko kapona?
 
Back
Top Bottom