majiko ya kukaangia samaki ferry

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
547
moshi wote unaelekea ikulu ya nchi na si kwa bahati mbaya la hasha ,wajapan walijenga majiko yale yatumie makaa ya mawe sasa kutokana na makaa hayo kuwa adimu hawa jamaa wakaanza kutumia mkaa wa kawaida nao ukawa ni ghali ,sasa hivi wanatumia kuni ukifika pale huo moshi unao fuka utadhani hakuna watu ndani yake ,na wapo zaidi ya kumi .walipofikia kutumia kuni si ridhaa yao maisha bora kwa kila mtanzania imebidi hivyo kutumia kuni watoto wasome ,walipe kodi,sasa tukisema wahame kwa kuwa moshi unaenda ikulu si sawa kwa sababu makaa ya mawe tunayo na hata waliojenga majiko yale walihakikishiwa yapo wakajenga .mungu ni wa ajabu moshi kila siku unaelekea kule kule ikulu na kwingineko .waleteeni makaa ya mawe uliyowaahidi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom