Majibu sahihi kwa Charles Kitwanga juu ya Ndege Mpya za ATCL

Mkuu mimi nilikuwa najua una exposure kubwa sana....kumbe hamna kitu mkuu?? Teh teh....Basi tuseme hata simple google search imekushinda kweli ukabaini hizo hoja zote za Kitwanga ni ziro kabisa???

How can you buy that Kitwanga story???
Umeniangusha sana kaka...!!
Hata mimi nilikuwa namuweka katika kundi la watu wenye exposure lakini ila kadri siku zinavyokwenda nagundua ni mweupe kweli hajui kitu zaidi ya kutunga story za uongo.....kuna siku alikuja na uongo wa Magwangala yaani nikajua huyu jamaa hakuna kitu. Unajua Magufuli anawatia uchizi na ambavyo wanasubiri kila kitu wakosoe ndo wanazidi kuonyesha upumbavu wao mpaka miaka kumi iishe atakuwa kafikia level ya matopeni kabisa
 
Jambo usilolijua usilitolee ufafanuzi.Kitwanga kakosea koponda,angetakiwa kuijua kwanza hiyo kampuni sio kukurupuka tuu.Humu jamii forum kuna vichwa vingi tena vinasoma kwa hiyo majibu ya mleta mada yamejitosheleza sana.
 
Hivi bado ndege za propeller zinatengenezwa mpya?
Ndio Mkuu kwa ajili ya Tanzania
Hizo ndege zinatumia ni turboprop engines siyo propeller. Turboprop zinachanganye turbines kama ilivyo kwenye jet engine na propeller kama ilivyo kwenye piston engines. Ndege za turboprop zinatumiwa na nchi nyingi sana duniani kwa safari za masafa mafupi. Ndege hizo zinatumia mafuta kidogo sana kulinganisha jet engines. Ila haziwezi kumdu vizuri masafa marefu kutokana na kuwa haziruki anga za juu sana kwa hiyo haziwezi kupunguza air friction na kuwapata spidi kubwa akama jet engine ambazi zinaweza kuwa katika anga za juu zaidi. Kwa safari za ndani fupi fupi, mara nyingi turboprop ndizo zinazotumika. hHta jeshi la anga la marekani linazo nyingi tu.
 
Labda Kama nauli itakuwa chini ya ile ya fast jet, ila kama itakuwa juu hayo mapanga boy sitopanda
 
Weston Songoro huyo ndugu amejibu hoja za Kitwanga vizuri lkn ninataajabishwa sana kwa lugha za kejeli alizotumia.

Hivi ndivyo wasomi wetu wanavyofundishwa namna ya kujibu hoja kuwa lazima kudhihaki unapomuelimisha mjinga?

Vv
 
Majibu hayo kwa kitwanga ni bora sana. Sina uhakika kama atayasoma na kuyaelewa vizuri maana huyu bwana wakati wote kwake ni pombe tu.
 
Kitwanga ni ccm kumtukana na kumkashfu kwamba ni chapombe ni kuwadhalilisha wanaomtegemea kuwaletea maendeleo katika jimbo lake
 
Back
Top Bottom