Majibu sahihi kwa Charles Kitwanga juu ya Ndege Mpya za ATCL

matatizo ya mwananchi sio ndege za kusafiria Bali barabara za kumsafirishia pembejeo na mazao take!
 
Umefafanua vizuri sana hoja zako!
Kinachonitatiza ni kwa nini umeambatanisha hoja zako sahihi na kashfa na matusi.
Hayakuwa na sababu maana hoja ilishajitosheleza.
Imekuwa taabu nchi hii kujadiliana bila kukashifiana?
 
Leo hii huwezi nunua Costa toka mwanza to dodoma, eti inatumia mafuta kidogo, niache kupanda yutong
 
Yawezekana Kitwanga haikunywa pombe labda aligonga kitu cha miaka saba ndo kiishe akilini.
 
Sijaona hoja mpya hapa, tatizo la vijana wa Lumumba ni busara ndogo na hii hupelekea kumdhihaki kila anayekuja na hoja tofauti na mawazo yao. Huyu bwamdogo sijui anaweledi gani katika ndege!!!!!
 
Tukiacha siasa na kujikita Kwenye utafiti inadhihirika kuwa pangaboi za kileo technologia yake ni ya kisasa sana.pangaboi za kisasa ni jet engine iliyoongezwa sehemu ya mbele kwa ajili ya mitambo ya ziada ya kuendesha pangaboi.matokeo ni kwamba inapunguza speed ya ndege kidogo lakini nitaleta ulaji mdogo wa Mafuta kuliko jet engine katika safari fupi kama za humu nchini.kwa safari za mbali intercontinental jet engine ni bora zaidi.kwanza unafika haraka zaidi na unywaji Mafuta unapungua. Ubora wa ndege zaidi uko Kwenye technologia ya instruments kwa ajili ya kuiongoza ndege isije potea na uwezo wake kutua Kwenye Kwenye weather mbaya na sio swala la jet au pangaboi.
 
Mimi siyo mtaalamu lakini nililiona hili. Niliona picha moja inayoonyesha ndege mojawapo inayokuja kuletwa, nilipata maswali na wasiwasi. Kuna uwezekano kuna mtu ana license ya kutengeneza ndege hii na labda tunajaribu kumboost ili labda siku afikie level fulani. Ndiyo maana kuna swali, kwa nini tunalipa cash, full price kununua ndege?

Kaongelea suala la speed. Hilo ni jambo muhimu hautaweza kushindana na wengine wakati speed ni kitu muhimu. Kama wameamua kuja kushindana kwa nauli wakati tayari ni biashara ambayo kwa asilimia kuwa wategemee kuieshesha kwa hasara (faida inakuja indirectly), sioni mantiki.

Tatizo kubwa nchi hii, serikali inafanya maamuzi mengi makubwa kisiri siri halafu mambo yasipokwenda sawa wanaolaumiwa ni wananchi na watendaji.

Inanikumbusha TAZARA. Maamuzi ya kisiasa, yanayoonekana yana faida za muda mfupi lakini in the long run, hayana muelekeo kibiashara. Hii ni kwa sababu ya ukosefu wa long term vision na kutokuwepo kwa utamaduni wa mawazo mapya ya watu kusikika na kuzingatiwa.
 
Huyu jamaa kiana anaonekana alikuwa mshauri na hakuamini ipo siku hataitajika tena. Sasa amebaki kulia lia na story zake za baa!!
 
Narudi kidogo upande wa kwann zinunuliwe kwa cash.nimefuatilia mahali inaonekana ukitaka upate ndege immediately bila kusubiri (order yako iwe na priority) utaratibu ndio otherwise inabidi kusubiri ma ake orders ni nyingi.ethiopean waliweka order za ndege mbili zaidi za aina hiyo na wako bado wanasubiri ila wao wana 15 za aina hii
 
Kitwanga katoa hoja 3 tu majibu utadhani chain??
Kweli ukitaka kujulikana ongelea kaswala ka Serikali....
 
Mimi nilisemaga kauli za Kitwanga kuhusu zile ndege za Dash 8-Q400 na kampuni ya Bombardier ni stinking garbage na ignorance yenye hadhi ya Summa Cum Laude
 
Back
Top Bottom