Majibu na madai ya uamsho kuhusiana na vurugu na muungano

ALEX PETER

Senior Member
Jan 17, 2012
117
23
uamsho pix.JPG
Mwandishi Manyerere aliyefanya mahojiano haya akiwa na wanauamsho


Haya ndiyo madai ya Uamsho kuuvunja Muungano


*Wasema bayana kwamba wanataka Zanzibar iwe 'Sovereign State', ijitawale yenyewe


*Wasema Dar es Salaam ilikuwa ya Zanzibar, maili kumi kuingia ndani, mikataba ipo


*Kiongozi ahoji: Kilomita chache zinakushughulisheni wakati mna mapori tele






Jumuiya ya Uamsho ya Visiwani Zanzibar hivi karibuni ilijikuta matatani, baada ya Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya wafuasi wake. Mwandishi wa gazeti la JAMHURI, Manyerere Jackton, amefanya mahojiano ya ana kwa ana na Amiri Mkuu wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed, aliyeeleza lengo kuu la Jumuiya hiyo ya Kiislamu.






JAMHURI: Ni nini chanzo cha vurugu za Mei 26?


Sheikh Farid: Kilichotokea hapa kwa muda mrefu, japo inasikika Jumuiya ya Uamsho ndiyo inayofanya mihadhara, lakini ni Umoja na Jumuiya za Kiislamu ambazo zimekuwa zinaendesha mihadhara. Tumefanya mihadhara zaidi ya mia moja hadi sasa - mikutano zaidi ya mia pamoja na makongamano tofauti. Na lengo zaidi hapo awali lilikuwa ni kuwaelimisha watu kujua Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na kuona ni jinsi gani inawabana Wanzibari na haijawapa ile haki yao ya kuujadili Muungano.


Na baada ya hapo kilichokuwa kinazungumzwa zaidi ni kuwaelimisha wananchi kujua haki yao, kujua.... Soma zaidi.. http://www.kwanzajamii.com
 
Hiyo ya mili kumu ndani ya Dar kuwa ni ardhi yao nimeipenda. Hivi bado JWTZ kazi ya kulinda mipaka ya nchi ni jukumu lao?
.
 
hawa wanatamani kurushiwa maguruneti kutoka tanganyika

siku zote uhasama unaanza na chuki kama serikali yetu imekaa kimya inashindwa kutolea tamko swala kama hili unafikiri nini maana hawa wanapata nguvu ya kuongea wakiamini wanaungwa mkono na wazazinbar weng ndo maana wanasema kila wanachojisikia
 
hiyo ya mili kumu ndani ya dar kuwa ni ardhi yao nimeipenda. Hivi bado jwtz kazi ya kulinda mipaka ya nchi ni jukumu lao?
.

kama ilikuwa yao ilikuwaje ikawa sehemu ya tanganyika
 
kama ilikuwa yao ilikuwaje ikawa sehemu ya tanganyika

sehemu ya tanganyika unajua ww tu wazanzibar, mungu wenu, anajua kama kilo mita kumi kutoka bahar sio tanganyika na ndio maana aliwambia zamani mji wenu uko dodoma.
 
Wacheni kupotosha Watangayika, kilichozungumzwaa alitoa mfano kabla ya mipaka mipya ya Za'bar kugaiwa na kupunguzwa Dar kulikuwa na km 10 ya Z'bar, lkni baada ya hapo Za'bar ina mipka yke kama iliomo kwnye mabadiliko ya katiba ya mwaka 2010 ya Z'bar.

Sasa na hio sehemu ilobaki Tanganyika mnaitaka? Kasema kwa hilo haliwezekani tena.

Wacheni kuongopeana nyinyi Watanganyika Wazanzibari wanataka nchi yao msiwapotoshe watu, ss hatuna shida na na Dar wala Tanga, au Kilwa.

Almuhimu Jamhuri ya Zanzibar kwanza = Unguja+Pemba+visiwa vidogovidogo+Anga na Bahari iliozunguka visiwa vyetu vinatutosha.
 

Wacheni kupotosha Watangayika, kilichozungumzwaa alitoa mfano kabla ya mipaka mipya ya Za'bar kugaiwa na kupunguzwa Dar kulikuwa na km 10 ya Z'bar, lkni baada ya hapo Za'bar ina mipka yke kama iliomo kwnye mabadiliko ya katiba ya mwaka 2010 ya Z'bar.

Sasa na hio sehemu ilobaki Tanganyika mnaitaka? Kasema kwa hilo haliwezekani tena.

Wacheni kuongopeana nyinyi Watanganyika Wazanzibari wanataka nchi yao msiwapotoshe watu, ss hatuna shida na Dar wala Tanga, Mombasa, Somalia au Kilwa.

Almuhimu Jamhuri ya Zanzibar kwanza = Unguja+Pemba+visiwa vidogovidogo+Anga na Bahari iliozunguka visiwa vyetu vinatutosha, gayo maeneo mengine hayamo ktk mipaka ya Z'bar na hizo propaganda zenu.
 
Bakora tuuu hadi ujinga uwatoke yaani wanaongea kama vile wao ndio wanaimiliki zanzibar. Ndio naamini hawa jamaa wakiachwa watabwabwaja mengi ya kukifu
 
Hawa wanatamani kurushiwa maguruneti kutoka Tanganyika

....hapoooo! hapo awali kulikuwepo na zanzibar na tanganyika... na hapo awali ukanda wote wa tanganyika ( na wote wa afrika ya mashariki, mogadishu-beira; km 10 toka baharini kuingia nchi kavu) ulikuwa ni sehemu ya zanzibar pia... suala la kuvunja muungano litafungua " pandora box", na hicho ambacho wenye mapungufu ya uelewo wa historia ya bara letu wanadhani ndio tutabaki nacho (tanganyika), ktayayuka mbele ya macho yao namna pande la samli linavyoyayuka ktk kikaango kilichopashwa moto....!
 
wacheni kupotosha watangayika, kilichozungumzwaa alitoa mfano kabla ya mipaka mipya ya za'bar kugaiwa na kupunguzwa dar kulikuwa na km 10 ya z'bar, lkni baada ya hapo za'bar ina mipka yke kama iliomo kwnye mabadiliko ya katiba ya mwaka 2010 ya z'bar.

Sasa na hio sehemu ilobaki tanganyika mnaitaka? Kasema kwa hilo haliwezekani tena.

Wacheni kuongopeana nyinyi watanganyika wazanzibari wanataka nchi yao msiwapotoshe watu, ss hatuna shida na na dar wala tanga, au kilwa.

Almuhimu jamhuri ya zanzibar kwanza = unguja+pemba+visiwa vidogovidogo+anga na bahari iliozunguka visiwa vyetu vinatutosha.
toka mwanzo mimi naona znz ni makupe wanainyonya tanganyika kama na nyie mmeona mnanyonywa sijui kwa lipi fungasheni na ondokeni tumewachoka na usharobaro wenu kila kitu mnaonewa tu, mitihani mnaonewa kodi mnaonewa , mtaikumbuka tanganyika nendeni mkauwane kwani hatuwajui? Nyie kumwaga damu ni jadi yenu toka nendeni zenu mkaribishe utumwa mlozoea
 
....hapoooo! Hapo awali kulikuwepo na zanzibar na tanganyika... Na hapo awali ukanda wote wa tanganyika ( na wote wa afrika ya mashariki, mogadishu-beira; km 10 toka baharini kuingia nchi kavu) ulikuwa ni sehemu ya zanzibar pia... Suala la kuvunja muungano litafungua " pandora box", na hicho ambacho wenye mapungufu ya uelewo wa historia ya bara letu wanadhani ndio tutabaki nacho (tanganyika), ktayayuka mbele ya macho yao namna pande la samli linavyoyayuka ktk kikaango kilichopashwa moto....!

hakuna haja ya kuwarushia mabomu hawa watoto wetu kufanya hivyo itakuwa ni sawa na kuvunja yai kwa kutumia nyundo watatulia tu la sivyo tutamrudisha komandoo dr. Salmin amour awafunze adabu kama jan 27/2001
 
hawa wanatamani kurushiwa maguruneti kutoka tanganyika

hakuna haja ya kuwarushia mabomu hawa watoto wetu kufanya hivyo itakuwa ni sawa na kuvunja yai kwa kutumia nyundo watatulia tu la sivyo tutamrudisha komandoo dr. Salmin amour awafunze adabu kama jan 27/2001 maana ni wabshi kwelikweli watatusumbua bure
 

yani mimi hiyo mionekano yao tu, kisaikolojia ni watu wakorofi, wabishi na wasiotaka kuelewa. Angalia vizuri ndani ya nyuso zao utaona kuna nyuso za nina sheikh Osama bin Laden, na magaidi mengneyo ya kiarabu.
MY TAKE:
hatua kali dhidi yao zichukuliwe
 
Lkn kuhusu mipaka ya Tz na Z'bar nlisha sema maranyingi, ila wana jf mmekua na masiara sana ndugu zangu!
 
Back
Top Bottom