Majibu na madai ya uamsho kuhusiana na vurugu na muungano

Haa Haa haa haaaaaaaaaaaaa kumbe Daslaam NI ya wa zenjiiiiiiiii Teh teh teh tehhehe, NO WONDER!!itakuwa ni kuanzia apo magogoni kuendelea ndo wala urojo wenyewe,rudini kwenu bana alaf atuwataki kipande oote uku TANGANYIKA
 
Inatakiwa wafanywe kama alivyofanywa Kassim Hanga na Nyerere! Wafukiwe kaburini wakiwa hai!
 
Magaidi wana mambo lol!! Wanadai Dar es salaam nayo ipo ndanii ya Zenji? waende zao huko, wasituletee uanaharamu wao huku Bara
 
kuna aliyeisoma hiyo makala ya manyerere baadae ndio akabonyeza vitufe vya keybord?

Tumeekewa link hii hapo juu. » blog archive » mahojiano ya mwandishi jackton manyerere na wana- uamsho zanzibar

jihabarishe usiwe mfata mkumbo tu.

Kwenye makala kuna hili jibu.
Nashangaa sasa alipokuja waziri, jeshi la polisi wamemdanganya. Na alipokuja igp wamemdanganya wamemwambia uongo. Wanamwambia kuwa jeshi la polisi limejaribu kuzima fujo, lakini si kweli. Ni uongo huo. cd zipo zinauzwa kila pahali. Wazi kabisa. Zinaonyesha maandamano kitu mbali, na zile fujo kitu mbali kabisa. Hayo matembezi kitu mbali na hizo fujo kitu mbali kabisa.
jamhuri: Nini chanzo kilichosababisha fujo?
Sheikh farid: fujo ilisababishwa na jeshi la polisi kukosa utaratibu, kuchukua mazoea yale yale ya uhuni na mabavu. Ndicho kilichofanyika kwa sababu........

jamhuri: Mambo gani ambayo zanzibar haitendewi haki ndani ya muungano?
Sheikh farid: Ni mamlaka kamili ya kimaamuzi ya kimataifa, ya ndani na nje ya nchi. Hiki ndicho tunachokosa zanzibar. Wanaita sovereignty, zanzibar inakosa sovereign yake kwa hiyo tunataka sovereign state. Kama ni zanzibar iheshimike, kama ni rais wa zanzibar aheshimike, serikali ya zanzibar iheshimike ndani na nje ya nchi. Iwe na mamlaka kamili. Na wao wenyewe (wazanzibari) wataona utaratibu nini watafanya. Kwa hiyo wananchi waulizwe, chepesi tu hakina tabu. Si waliulizwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na hakupigwa mtu?
Jamhuri: je, mtaidai dar es salaam?
sheikh farid: Hatuna shida nayo hiyo. Tutakuachieni. Sisi watu makarimu sana sie. Tutawaachieni.

Jamhuri: mbona hamjasikika mkilaani kuchomwa makanisa? Mnaunga mkono kitendo hicho?
sheikh farid: Tumeshatoa taarifa nyingi sana. Tatizo unajua hakuna uadilifu kwenye uandishi wa habari. Hakuna uadilifu hata kwenye hii tv yetu iliyopo hapa (zbc), hata redio zilizoko hapa hakuna uadilifu bwana. Hii ni kwa mtu anachukia kitu anakuwa si mwadilifu. Na haya ndiyo yanayosababisha matatizo kama haya kuzuka. Mtu unamnyima haki yake anafika mahali hawezi kustahamili. Kwa hiyo sisi kiufupi tunalaani vibaya sana suala zima la kuchoma makanisa, dini haisemi hivyo. Si dini yetu wala si nyingineyo, haisemi hivyo.

Halafu sehemu ya kutoa maoni kuna hii.

Nalishkuru hili gazetu kwa kuonesha mfano mzuri wa chombo cha habari kinavotakiwa sio haya magazeti yanayotangaza mambo kwa kusikiliza upande mmoja yaani upande mwengine unashushiwa shutuma bila ya kupewa nafasi ya kujitetea. Sisi wazanzibari sote hatuungi mkono kuchomwa makanisha waliochoma makanisa police wanawajuwa ila kuna ajenda ya siri ya kutaka kustopisha hizi move ila tunawambia mpaka kieleweke muungano hatuutaki na nyinyi watanganyika mudai nchi yenu au hamuna???

Bandugu tujihabarishe, tujiridhishe, tutafute ukweli, tusikurupuke kufata mkumbo wa watu na propaganda za wenye kutaka kuingiza jamhuri ya muungano kukidhi matakwa ya kung'ang'ania madaraka.

Mimi si mmoja wa wanaoamini kuwa uamsho wamehusika na uchomaji wa makanisa. Do your home-work!

safi sana,
mambumbu yakiambuwa ukweli tu yanakimbia
wamezoea kufremu habari za kiislamu nakuambiwa machache ya uongo kuhusu waislam, jamani someni msidanganywe na wakusanya sadaka.
 
safi sana,
mambumbu yakiambuwa ukweli tu yanakimbia
wamezoea kufremu habari za kiislamu nakuambiwa machache ya uongo kuhusu waislam, jamani someni msidanganywe na wakusanya sadaka.

hao wamefundishwa matusi na wakuu wa makanisa yao , tizama wanavyoingia na kutukana ,


wameumbuka na yale waliyodanganywa na makanisa yao
 
Magaidi wana mambo lol!! Wanadai Dar es salaam nayo ipo ndanii ya Zenji? waende zao huko, wasituletee uanaharamu wao huku Bara

Hata mi nalifahamu,mi niliwah ambiwa ni 10km..kumbe ni 10miles,Tanganyika inaanzia Maili 1 yani pwani ha ha ha ha ha ,ikulu ya Zenji du,
 
Hizi ni chuki dhahiri dhidi ya Uislam na Waislam. Jihadhari, unapanda mbegu ambazo huwezi kuvuna. Yatakukuta makubwa ndugu yangu. Sikutishi lkn zingatia haya ninayokwambia. Mdomo uliponza kichwa.

Siyo tu unamtisha nyie ni mashetani hamsiti kufanya lolote hamumwogopi Mungu wala serkali za wanadamu mna penda kumwaga damu ili kutoa kafara kwa mungu wenu allah anae furania damu za watu, mna tafuta vijisababu tu vya kumwaga damu za watu kumbe mkiipata Zanzibar inafuata maeneo ya pwani halafuTBR, ujiji nk mh! allah atakunywa damu hadi avimbiwe ya kule Nigeria haina Radha??? Kule Tunisia kachinjwa mtu live kama kondoo huku njemba vuga midevu likisoma aya za kurwani, kosa la marehemu eti kubadili dini, jamani??!!!!
 
Back
Top Bottom