Mimi naomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye kuelewa maswala ya kupeleka majeshi nje ya nchi je ni nani ama watu gani wanakaa na kuidhinisha jeshi letu lipelekwe nje ya nchi?
Katika kinachoonekana kwa AU kuwa wanauwezo wa kumwondoa yeyote anayetumia nguvu kuchukua madaraka,nafikiri pengine wangeenda mbali zaidi kuwashughulikia wale wote wanaoiba kura ama kubadilisha matokeo ya kura na kuchukua madaraka,kwani hapa ndio tatizo kubwa kwa viongozi wetu kuchukua uongozi kwa nguvu sasa sijui ni jeuri gani inayowapeleka huko wakati mgogoro wetu wa zanzibar bado hatujautatua na uko wazi kabisa,hapa kuna kasoro kubwa nafikiri tungetatua huu mgogoro wetu kwani unatupa aibu kubwa sana.