Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
Hivi huu uamuzi wa kugh'ang'ania majeshe kwa nini JK anaulazimishia? Senegal wameshakataa kushiriki, tumebaki sis na Sudan & Libya, some strange coutries, kwa nini? Hivi waandishi wetu wa habari wako wapi hawahoji haya mazito?

ALeqM5igBPNg3rlinxPt9M9Y6t6V0dZZGA

Tanzanian troops come off a military transport plane upon their arrival at the archipelago of Moroni

Mbeki intervenes to halt AU invasion

March 16 2008 at 11:02AM

By Peter Fabricius and Chiara Carter

In a dramatic, last-minute intervention, President Thabo Mbeki has halted an African Union invasion this weekend of the tiny Comoros island of Anjoun as troops gathered on a neighbouring island, ready to overthrow Anjouan's ruler.

It is reliably understood that Mbeki spoke to the head of the African Union, Tanzanian President Jakaya Kikwete, by phone on Friday to stall the attack, intended to depose President Mohamed Bacar.

For some time South Africa has been involved in efforts to resolve the situation and these were renewed after the department of foreign affairs received a letter this week from Bacar, whose offence seems to be that he overstayed in office for two months last year.

'He is a liar'
Pretoria is now engaged in efforts to make the suspension of the invasion stick and find lasting peace.

While many African tyrants have clung to power for decades with impunity - Zimbabwe's President Robert Mugabe stands for re-election on March 29 to try to extend his rule to 33 years - this extraordinary plan was to be the AU's first military invasion of a member country.

An AU force was assembling on the nearby island of Moheli - apparently with French help - ready to cross the narrow channel to Anjouan to help the federal government of Comoros get rid of the island's "rebel" leader, Bacar.

Anjouan, population 250 000, size 42km2, is one of three semi-autonomous islands in the federal Comoros state. It is the richest island.

In the AU force preparing to invade Anjouan were contingents from two undemocratic countries, Sudan and Libya, as well as elements from democratic Senegal and Tanzania.

The federal government of Comoros and the AU insist that Bacar's government is illegitimate because he came to power last year in an election that the federal constitutional court deemed illegal.

Bacar retorts that his arch-rival, federal President Ahmed Sambi, packed the court with his own supporters so that its verdict was unjust.

The precise rights and wrongs of the election are fuzzy enough for South African officials to believe that the drastic solution of a military invasion is unwarranted. Bacar did not defy a constitutional limit on running for a second term because there is no such limit. His offence was to remain in office after his term expired in April until the election in June.

On Wednesday, after Aziz Pahad, the deputy foreign minister, had said his government supported the invasion politically, Mbeki told journalists in Mauritius that a military attack was unnecessary because Bacar had written to the South African government, agreeing to run new elections in May.

On Friday, Bernard Membe, Tanzania's foreign minister, had declared that military intervention was irreversible, adding that Bacar had squandered many chances for a negotiated settlement.

"He is a liar," he said about Bacar's latest offer.

Chrysantus Ayangafac of the Pretoria-based Institute for Security Studies (ISS) said the military build-up and sabre rattling from the AU might be diplomatic brinkmanship designed to scare Bacar into surrendering power. But Bacar has vowed to fight to the death.

Questions are also being asked about South Africa's role. Nkosazana Dlamini-Zuma, the foreign minister, headed a group of regional countries that had been trying for months to resolve the conflict. She was supposed to lead a mission to the Comoros late last month to discuss the crisis, but cancelled the mission.

Some diplomats believe she might have called it off because she realised the AU had already determined to seek a military solution.

Some analysts say the decades of upheaval in Comoros, which has experienced 19 coups or coup attempts since independence from France in 1975 - many of them engineered by the late French mercenary Bob Denard - have made the AU impatient of negotiations.

Jakkie Cilliers, the ISS director, said the AU decision was technically legitimate under the AU charter as it has been sanctioned by the union's peace and security council, and it would be intervening at the invitation of the federal Comoros government to help it overturn a unconstitutional transfer (or in this case, retention) of power in Anjouan.

SA - Sunday Independent
 
Kwa taarifa zenu, kulingana na siasa za Mwalimu, Comoro ni koloni letu na viongozi wake walichaguliwa kama alivyofanya kwa Uganda enzi za kina Bina Issa, Obotte.
Ofisi nyingi za Comoro zinaendeshwa na Watanzania hasa ktk Ulinzi na hapa kwetu Wa Comoro wamejaa tele tena baadhi ni viongozi waheshimiwa wetu sawa na Myahudi Marekani. Sasa kama mtaweza tenganisha Myahudi na Marekani basi hata hili latazekana..

Mkandara nakubaliana na wewe maana hali halisi ndivyo inavyoonekana. Wako maofisa wengi wa Tanzania wamesimamia zilizokuwa zikiitwa "special missions" huko Comoro tangu miaka ya 60's. Imechezwa michezo mingi michafu hapo Comoro na wengi wamehusika. Wakati Tanzania tukiwa mwenyekiti wa nchi za mstari wa mbele za ukombozi kusini mwa Africa miaka hiyo ya 60's hadi tulipoivunja rasmi early 90's (baada ya demokrasia kuingia kwa Mandela), yalitokea mambo mengi hapo Comoro. Tulinyang'anyana sana hiyo Comoro na makaburu. Alikuwapo gaidi mfaransa akiitwa Bob Denard, yeye alipata msaada wa makaburu na alijipindulia hako ka-Comoro kila alivyotaka! Katika miaka isiyozidi 20, majeshi ya kigaidi ya Bob Denard ambayo yalikuwa na wapiganaji wasizidi 150 yalipindua serikali mara 4, na katika mara hizo aliua marais wawili, Mohamed Johari (70's) na Ahmed Abdallah (hii nakumbuka vizuri, 1989 mara tu baada ya kutoka Dar alikofanyiwa dhifa na Mzee Ruksa). Wafaransa walimtumia Bob Denard na genge lake la askari wa kukodiwa kutawala Comoro ili waweze kufanya biashara na makaburu. Makaburu walikuwa na njia kuu mbili za kufanya biashara zake licha ya vikwazo: walimtumia Ngwazi Dr H.K. Banda wa Malawi, na hizo serikali za vibaraka za Comoro zilizokuwa zinawekwa na Bob Denard. Kamati ya Ukombozi, ikiwa na Katibu Mtendaji wake Brig Gen Hashim Mbita walitumia mbinu nyingi sana za ki-intelijensia kuhakikisha wana-monitor yanayotokea Comoro, na kazi hizi walizifanya kwa uangalifu mkubwa hata pale ambapo serikali ni ya vibaraka. Miaka hiyo Tanzania ilisambaza mashushushu wa kijeshi Comoro, Msumbiji, Lesotho, na ninaweza kusema walikuwa wajanja sana kwa sababu by proxy tulikuwa tunapambana na makaburu na wafaransa (ambao walitaka kulinda biashara yao na makaburu), lakini kwa ukachero zaidi kuliko silaha, kalikuwa ka-version ketu ka cold war.

Sasa hii vita ya sasa hivi wasiwasi wangu ni je, tunapambana na nani? Je ni Colonel Bacar peke yake? Kapata wapi kiburi hicho cha kukataa kusalimu amri? Na sisi tunataka nini huko Comoro wakati huu? Wakati ule ilikuwa kumdhibiti kaburu, na ilikuwa interest ya nchi zote zilizokuwa zinapigania uhuru. Sasa hivi je, tunapigania nini? Haya kimsingi ndio maswali ambayo ukijumuisha, ndiyo yanayowapa wachangiaji wengi katika hii forum mashaka kuhusu uhalali wa vita hii.
 
Bob Denard yuko wapi siku hizi? mara yamwisho attempt yake ilishindikana akaokolewa na Paratroopers wakifaransa walioko Mayotte.
 
Tunaingilia mambo ya nchi nyingine hilo liko clear.
Sehemu ya umasikini wetu imechangiwa na tabia ya kuingilia mambo ya nchi nyingine.

Tunatoa misaada Comoro kwa malipo gani?
USA wamevamia Iraq na Afganistan ku control Middle East na Oil Buss.
Sisi Comoro tunafuata nini na umasikini wetu huu wa kunuka? Biashara a vitunguu?

Mkuu, si kweli kwamba Tanzania inaingilia mambo ya nchi nyingine, hasa ktk suala la Comoro. Nchi haiwezi kuendeshwa kama kisiwa, bila kuwa na uhusiano mzuri na majirani zake. Mambo ya nchi gani memngine Tanzania iliingilia, nisaidie historia? Kulikomboa bara hili kwa kusaidia nchi zingine? Fikra za ukombozi ni kuingilia mambo mengine ya nchi zingine?

Wakati huo hizi nchi unajua zilikuwa zinatawaliwa kwa mambavu na wakoloni, wewe unadhani tungekuwa wapi sasa, na hata hizo biashara, muungano na nchi nyingine mfani SADC, ungekujaje kama nchi hizi zingeendelea kutawaliwa kwa kuwa hutaki kuingilia nchi nyingine?

1. Licha ya ukweli kuwa Tanzania ina urafiki na Comoro, lakini Hatua ya kupeleka majeshi Comoro imekuja baada ya Rais Sambi kuiomba AU msaada huo...long before JK became the chairman, mwaka jana (miezi 8 iliyopita).

2. Mfano wako wa US na Iraq si relevant, kwa kuwa US ilijimobilize na washakji zake, wakakataliwa na UN, lakini wakaamua kuipiga Iraq. Tanzania, Senegal, Libya na Sudan zimepeleka vikosi chini ya mandate ya AU, na hata kama nchi hizi zingekataa, unadhani tungetoa sababu gani ya kukataa kupeleka majeshi?

Eti kwa sababu tumegundua tunaowasaidia hutajirika kuliko sisi? Ni kweli kuwasaidia wengine kunatufanya tuwe masikini? Is that a good reason?
 
Hivi JK na Mbeki wanashindana?

Comoros raid to proceed, says Tanzania
By LEVINA KATO
Last updated: 32 minutes ago

Tanzania has rebuffed attempts by South Africa to halt military action to depose President Mohamed Bacar of tiny Comoros island of Anjouan.

Foreign affairs minister Bernard Membe said Tanzania was pushing ahead with the African Union decision to strike against Anjouan despite opposition from President Thabo Mbeki.

"The military offensive begins tomorrow (today) and there is no going back," Mr Membe told The Citizen in a phone interview.

He said Tanzania was surprised and taken aback by President Mbeki's change of heart for the invasion that had received blessing from AU.

The invasion of the tiny Island that has declared independence from Comoros has received tacit support from the international community including from US and France.

Mr Membe's remarks came after reports emerged that the South African leader had written to President Jakaya Kikwete last Friday asking him to shelve the military intervention in the Comoros.

President Kikwete is the current chairman of AU and Tanzania is playing a leading role in the planned attack to eject Mr Bacar from office, and end one of the longest running political crisis in the Island.

The minister said South Africa's defence of the leadership of Comoro's rebel leader was unacceptable.

Tanzania has sent 750 soldiers, the largest from a single country on the front line. Senegal, Sudan and Comoros itself are to provide the balance of the 1,800 strong contingent of soldiers to be deployed.
 
Haya shughuli imeshaanza. Tuwaombee Mungu vijana wetu warudi salama, halafu watakaporudi tumshike tai JK kwa kutuingiza vitani bila hata ya kutuweka sawa.

Comoros soldiers clash with island rebels
Mon 17 Mar 2008, 14:26 GMT

By Ahmed Ali Amir

tn_2008-03-17T143610Z_01_NOOTR_RTRIDSP_2_OZATP-COMOROS-ISLAND-20080317.jpg

MORONI (Reuters) - Soldiers from Comoros have clashed with rebels on the island of Anjouan ahead of a planned assault by government troops with African Union support, officials in the Indian Ocean islands said on Monday.

Clashes flared on Sunday when troops loyal to Anjouan's self-declared leader, Mohamed Bacar, ambushed a group of government soldiers who had made an incursion onto Anjouan and were waiting to be picked up from its coast.

"These seven soldiers spotted Mohamed Bacar's rebels waiting on Moya bridge and attacked them with rockets, causing several rebel casualties," said Assoumani Mondoha, a member of the government's political-military committee.

"The aim of these incursions is to show the rebels the ability of the army to fight and to gather intelligence," Mondoha told Reuters by phone. Another official said two soldiers were wounded in separate clashes on Anjouan.

Anjouan officials were not available for comment.

After suffering some 20 coups or coup attempts since independence from France in 1975, Comoros is trying to shrug off a history of instability and inter-island bickering.

Lying off Africa's east coast, the islands -- which grow vanilla, cloves and ylang-ylang, a flower whose oils are used in aromatherapy -- were first settled by Arab seafarers 1,000 years ago, then later became a pirate haven.

The last of several hundred Tanzanian, Sudanese, and Senegalese African Union troops were expected to arrive in Comoros on Monday to support military action to wrestle back control of Anjouan.

Analysts say the African Union is hoping to score a relatively easy victory against Anjouan and win some prestige to offset struggling peacekeeping missions in Sudan and Somalia.

Comoros officials say there is no other option left for Anjouan than a military assault after mediation failed to end a protracted standoff with Bacar, who declared himself the winner of an illegal vote last June.

The central government accuses Bacar of secessionist aspirations, but the former French-trained gendarme says he wants more autonomy for Anjouan rather than independence.

(For full Reuters Africa coverage and to have your say on the top issues, visit: http://africa.reuters.com)
 
.,..kosa kubwa wanalofanya serikali ni kuweka siri ya taarifa kwenye zama hizi...wenzetu huwa wanawapa taarifa waandisi kuhusu vikosi vilivyo nje..ili kuzuia habari zisizo rasmi..

pia waansishi wetu wa habari wawe wadadisi...

serikali lazima ijue kuwa hawa wanajeshi wana ndugu..kwa hiyo mauti yanapotokea mwishowe watajua..pia wanatakiwa kujua hakuna siri kwenye hili....sio ajabu ndege kushusha maiti toka nje pale kwenye uwanja wao..lakini ijulikane kama taarifa zinabanwa na hakuna waandishi huru walio comoro au sehemu nyingine ...watu wakiona maiti anashushwa uwanjani watakuwa wanahesabu kuwa anatoka comoro....na hawawezi kulaumiwa wananchi kwa hili..
 
Mkandara nakubaliana na wewe maana hali halisi ndivyo inavyoonekana. Wako maofisa wengi wa Tanzania wamesimamia zilizokuwa zikiitwa "special missions" huko Comoro tangu miaka ya 60's. Imechezwa michezo mingi michafu hapo Comoro na wengi wamehusika. Wakati Tanzania tukiwa mwenyekiti wa nchi za mstari wa mbele za ukombozi kusini mwa Africa miaka hiyo ya 60's hadi tulipoivunja rasmi early 90's (baada ya demokrasia kuingia kwa Mandela), yalitokea mambo mengi hapo Comoro. Tulinyang'anyana sana hiyo Comoro na makaburu. Alikuwapo gaidi mfaransa akiitwa Bob Denard, yeye alipata msaada wa makaburu na alijipindulia hako ka-Comoro kila alivyotaka! Katika miaka isiyozidi 20, majeshi ya kigaidi ya Bob Denard ambayo yalikuwa na wapiganaji wasizidi 150 yalipindua serikali mara 4, na katika mara hizo aliua marais wawili, Mohamed Johari (70's) na Ahmed Abdallah (hii nakumbuka vizuri, 1989 mara tu baada ya kutoka Dar alikofanyiwa dhifa na Mzee Ruksa). Wafaransa walimtumia Bob Denard na genge lake la askari wa kukodiwa kutawala Comoro ili waweze kufanya biashara na makaburu. Makaburu walikuwa na njia kuu mbili za kufanya biashara zake licha ya vikwazo: walimtumia Ngwazi Dr H.K. Banda wa Malawi, na hizo serikali za vibaraka za Comoro zilizokuwa zinawekwa na Bob Denard. Kamati ya Ukombozi, ikiwa na Katibu Mtendaji wake Brig Gen Hashim Mbita walitumia mbinu nyingi sana za ki-intelijensia kuhakikisha wana-monitor yanayotokea Comoro, na kazi hizi walizifanya kwa uangalifu mkubwa hata pale ambapo serikali ni ya vibaraka. Miaka hiyo Tanzania ilisambaza mashushushu wa kijeshi Comoro, Msumbiji, Lesotho, na ninaweza kusema walikuwa wajanja sana kwa sababu by proxy tulikuwa tunapambana na makaburu na wafaransa (ambao walitaka kulinda biashara yao na makaburu), lakini kwa ukachero zaidi kuliko silaha, kalikuwa ka-version ketu ka cold war.

Sasa hii vita ya sasa hivi wasiwasi wangu ni je, tunapambana na nani? Je ni Colonel Bacar peke yake? Kapata wapi kiburi hicho cha kukataa kusalimu amri? Na sisi tunataka nini huko Comoro wakati huu? Wakati ule ilikuwa kumdhibiti kaburu, na ilikuwa interest ya nchi zote zilizokuwa zinapigania uhuru. Sasa hivi je, tunapigania nini? Haya kimsingi ndio maswali ambayo ukijumuisha, ndiyo yanayowapa wachangiaji wengi katika hii forum mashaka kuhusu uhalali wa vita hii.

unayosema ni kweli...na hata mimi najiuliza kiburi bacar anapata wapi...tusijekuwa tunapambana na wengine nyuma ya pazia...kitendo cha mbeki kuandikiwa barua na bacar ..ambayo hatujui wamekubaliana nini..na mbeki kuanza kumtetea lazima kichukuliwe kwa tahadhari..

ndugu zangu mnatakiwa kujua kuwa nchi kama afrika kusini tumemwaga damu sana ...lakini hakuna return za maana tunazopata..zaidi ya watu kama mbeki kuanza kutetea maslahi ya nchi yake ..kutokana na mikataba ya siri atakayokuwa ameikuta ikulu kutoka kwenye serikali za kikaburu.....

tanzania hatuna historia ya kufaidika na damu tulizomwaga iwe comoro,uganda,angola,mozambique,namibia ,south afrika..ets bora zimbabwe wamewahi kutupa dola milioni 100 bure wakati tukiwa na matatizo ya kiuchumi miaka ya 1985
 
Watanzania kwanza punguzeni woga! sasa hao maaskari wengine wa nchi zingine wanaokufa ktk mapambano je sii watu?

Ushupavu ktk jeshi ni kipimo cha uzalendo wetu!

Aluta Continua!

naona hata kufa kwa askari while on duty naona ishageuzwa kuwa political attack na watu humu ! ama kweli wameshindwa madongo !
 
.,..kosa kubwa wanalofanya serikali ni kuweka siri ya taarifa kwenye zama hizi...wenzetu huwa wanawapa taarifa waandisi kuhusu vikosi vilivyo nje..ili kuzuia habari zisizo rasmi..

pia waansishi wetu wa habari wawe wadadisi...

serikali lazima ijue kuwa hawa wanajeshi wana ndugu..kwa hiyo mauti yanapotokea mwishowe watajua..pia wanatakiwa kujua hakuna siri kwenye hili....sio ajabu ndege kushusha maiti toka nje pale kwenye uwanja wao..lakini ijulikane kama taarifa zinabanwa na hakuna waandishi huru walio comoro au sehemu nyingine ...watu wakiona maiti anashushwa uwanjani watakuwa wanahesabu kuwa anatoka comoro....na hawawezi kulaumiwa wananchi kwa hili..

sasa source ya hii habari ipo wapi ?? au ndio kama ulivyosema kwamba wahandishi lazima wawe wadadisi, you chose to be that ? kama una source itakuwa swafi yakhe !
 
Comoro kunani? maana baada ya JK tu kuingia madarakani kau balozi kakafunguliwa pale karibu na coco beach, nasikia ile nyumba alikuwa anakaa mwanajeshi fulani. Guess who is Balozi Islam Balhabou(yule mwenye Tanganyika Oil(TIOT). Baada kama ya mwaka Balozi wa Camoro kaunda kampuni inayoitwa Dar Cement na ikanunua kale ka kiwanda ka Land Rover Mbagala. Kule alipokuwa swaiba wangu Leonard Tenga(Rais wa TFF) na kuanzisha kiwanda kipya cha Cement. Na balozi huyu anatamba hiyo ni joint venture ya rais wetu na yule wa Comoro na wana order ya 100% ku supply Comoro. Sasa kama business patner anakuwa threaten si lazima uingilie? Ni mtizamo wangu tu kwa upande tofauti?

MBANGAIZAJI HIII KALI INA MAANA JK NAYE KAFUNGUA KA HULLIBUTTONS KAKE???
 
naona hata kufa kwa askari while on duty naona ishageuzwa kuwa political attack na watu humu ! ama kweli wameshindwa madongo !

Kufa askari akiwa kazini sio tatizo, Tatizo ni kuwa hiyo kazi anayofia ni kwa maslahi ya nani? Taifa, CMM, au Mafisadi na nyie??
 
naona hata kufa kwa askari while on duty naona ishageuzwa kuwa political attack na watu humu ! ama kweli wameshindwa madongo !

kada hakuna muda wa kufanya siasa kwenye masuala muhimu ya nchi..kwani ni kawaida yenu kubana habari ili zikivuja muulize ..source???...mtauliza na baadaye mtajijibu wenyewe...kwani hata EPA ilipoanza sitta aliipuuza na kuuliza ..source???..richmond pia mlibeza ..mkauliza source???

sasa tunajibu ..the source is annonymity...lakini mjue maji yakizidi unga mtatutangazia tu!!!!....mara zote jf huwa wakwanza kujua...na ndio hukabiliana na maswali ya mahakimu nyie ....source?????
 
Quick question, majeshi yetu yameenda kule lini...? Kwa sababu nina taarifa zinazokinzana.
Si unajua hako ni kakoloni ketu. Enzi Alli Solih waliomba tuwapelekee hata MaDC. JKN alikataa , zaidi ya wanajeshi kumlinda hapati zaidi. Sasa kuna Bush wa Tanzania ikulu. Bush kaleta mambo ila sijui tutakwama kama yeye Iraq, maana njia ya kutokea huwa ngumu
 
Akili unajua ni mali sana, na kila mtu ana zake, siwezi kumuita rais wangu au kiongozi wangu yoyote kuwa ni mjinga na mzembe, kwa sababu kwa wenye akili ni clear kuwa hao viongozi wanaongoza wananchi wajinga na wazembe, I am sorry mkuu mimi sio mjinga na wala sio mzembe, labda wewe you are,

Hata uandike dictionary zote za dunia hapa mkuu, maana yake ni moja tu, kuwa sisi wananchi tuliowachagua ni wajinga na wazembe, again I am not, naomba ulirekebishe hilo, sisi wananchi tumemchagua rais wetu, na viongozi wa kumsaidia, hao mnaotuambia kuwa ndio wenye akili sana wote waligombea au kuwasaidia wagombea, na kweli wananchi wameonyesha kuwa wanazo akili za kutosha za kisiasa, maana wasingekuwa nazo basi Zitto, na Dr. Slaa, mashujaa wangu, wasingechaguliwa kuwa wabunge, kwa hiyo walioachwa ni kwa sababu hawakuwapa wananchi sababu za kutosha kuwachagua, lakini hatusemi kuwa hawakuchaguliwa kwa sababu ni wajinga na wazembe, ingawa tungeweza kusema hivyo pia!

Rasi Kikwete, amekuwa madarakani miaka miwili so far, kuna mazuri sana aliyoyafanya na mabaya sana pia, na ndio maana tuko hapa JF kumsaidia na kumkosoa, na kuna mengi ambayo ameyasikiliza tayari na kuyafanyia kazi, lakini mengine bado na tutaendelea kumsahihisha kwa ustaaarabu, lakini please hapa sio mahali pa wazembe na wajinga, maana ili uongozwe na mjinga na mzembe na wewe lazima uwe na hizo hulka, I am sorry kwamba mimi sio na rais wangu hana hizo hulka,

wengine hapa filimbi weee mlikuwa serikalini mmeshika mpaka vyeo vikubwa ambapo mngeweza kuleta mabadiliko mnayoyalilia hapa, lakini wapi, sasa sijui itakuwaje kwamba mtaleta mabadiliko mkiwa JF kuliko mlipokuwa huko ndani?

Wallahi viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe wananchi, thank God For JF maana bila hivyo tusingeweza kujua nani ni nani!
 
Kwa kifupi wanajeshi wetu 200 wako huko tangu mid 2007.

Tarehe 12 kulikuwa na mapigano madogo Anjoun na wanajeshi watatu wa Bacar walishikwa....
 
excuse me sire, excuse me sire! why the Minister of Foreign Affairs anazungumzia masuala ya operesheni za kijeshi na siyo mkuu wa Jeshi au Waziri wa Ulinzi...?

Labda kikao cha March 8th kilichofanyika Dar kufinalize mipango yote ndio kiliamua awe msemaji.

Arab League, EU na US wanasupport hii operation, inakwuaje South wanasema wasubiri?
 
Akili unajua ni mali sana, na kila mtu ana zake, siwezi kumuita rais wangu au kiongozi wangu yoyote kuwa ni mjinga na mzembe, kwa sababu kwa wenye akili ni clear kuwa hao viongozi wanaongoza wananchi wajinga na wazembe, I am sorry mkuu mimi sio mjinga na wala sio mzembe, labda wewe you are,

Hata uandike dictionary zote za dunia hapa mkuu, maana yake ni moja tu, kuwa sisi wananchi tuliowachagua ni wajinga na wazembe, again I am not, naomba ulirekebishe hilo, sisi wananchi tumemchagua rais wetu, na viongozi wa kumsaidia, hao mnaotuambia kuwa ndio wenye akili sana wote waligombea au kuwasaidia wagombea, na kweli wananchi wameonyesha kuwa wanazo akili za kutosha za kisiasa, maana wasingekuwa nazo basi Zitto, na Dr. Slaa, mashujaa wangu, wasingechaguliwa kuwa wabunge, kwa hiyo walioachwa ni kwa sababu hawakuwapa wananchi sababu za kutosha kuwachagua, lakini hatusemi kuwa hawakuchaguliwa kwa sababu ni wajinga na wazembe, ingawa tungeweza kusema hivyo pia!

Rasi Kikwete, amekuwa madarakani miaka miwili so far, kuna mazuri sana aliyoyafanya na mabaya sana pia, na ndio maana tuko hapa JF kumsaidia na kumkosoa, na kuna mengi ambayo ameyasikiliza tayari na kuyafanyia kazi, lakini mengine bado na tutaendelea kumsahihisha kwa ustaaarabu, lakini please hapa sio mahali pa wazembe na wajinga, maana ili uongozwe na mjinga na mzembe na wewe lazima uwe na hizo hulka, I am sorry kwamba mimi sio na rais wangu hana hizo hulka,

wengine hapa filimbi weee mlikuwa serikalini mmeshika mpaka vyeo vikubwa ambapo mngeweza kuleta mabadiliko mnayoyalilia hapa, lakini wapi, sasa sijui itakuwaje kwamba mtaleta mabadiliko mkiwa JF kuliko mlipokuwa huko ndani?

Wallahi viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe wananchi, thank God For JF maana bila hivyo tusingeweza kujua nani ni nani!

FMES,
Whether upende, unune au ujae upepo uzembe ni uzembe tu na ujinga ni ujinga tu hauna majina mengine. Kama mtu anakubali kudanganywa kijinga-kijinga, hata awe papa, sifa kamili ni ya kuwa mjinga. Kama atakuwa anazembea katika maamuzi anayofanya basi hana jina lingine zaidi ya mzembe. Kwa hiyo hata ukiapa na kubadilika sura, we have to call a spade spade. This is JF sio Daily News au Uhuru. Kuchaguliwa kwake hakuwafanyi waliomchagua kwa sawa na yeye hasa ukizingatia kuwa rushwa ilitumika. Lakini baadhi ya wale walio ndani ya NEC na CC wanaweza kuwa na sifa hizo kwani wao walikuwa na uwezo wa kumtema.

Kama huna hoja ya kujadili na unataka tujadili uzembe na ujinga wa hawa walioko madarakani sio tatizo tunaweza endelea.
 
kada hakuna muda wa kufanya siasa kwenye masuala muhimu ya nchi..kwani ni kawaida yenu kubana habari ili zikivuja muulize ..source???...mtauliza na baadaye mtajijibu wenyewe...kwani hata EPA ilipoanza sitta aliipuuza na kuuliza ..source???..richmond pia mlibeza ..mkauliza source???

sasa tunajibu ..the source is annonymity...lakini mjue maji yakizidi unga mtatutangazia tu!!!!....mara zote jf huwa wakwanza kujua...na ndio hukabiliana na maswali ya mahakimu nyie ....source?????

Kumbe Hauna source ya habari yako bana, sasa nishaelewa kwamba unadadisi habari kama ulivyosema ! keep it up !

Nimekuuliza source tu wewe unakuja na kashfa zako !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom