Majeshi ya Ukraine yameukomboa Mji wa Kharkiv baada ya Mashambulizi Makali dhidi ya Majeshi ya Urusi

Kwani wewe unatakaje?
Aache kuleta mambo ya uongo na akiweka source aeleze kikichopo kwenye source nasio upotishaji.

Ukraine appears to have ‘won the Battle of Kharkiv’: IOW​

The Institute for the Study of War (IOW) says it appears that Ukraine has “won the Battle of Kharkiv”, with evidence suggesting Russia has “likely decided” to withdraw fully from its positions around the city because of the strength of Ukrainian counterattacks and a lack of reinforcements.

Ajue maana yahizo funga semi na fungua semi kwenye habari zina maana gani, ndio maana yanatumika maneno kama it appears , "likely" nivitu ambavyo muandishi hana uhakika na chanzo cha taarifa yake.
 
somapo hata humo basi

Ukraine appears to have ‘won the Battle of Kharkiv’: IOW​

The Institute for the Study of War (IOW) says it appears that Ukraine has “won the Battle of Kharkiv”, with evidence suggesting Russia has “likely decided” to withdraw fully from its positions around the city because of the strength of Ukrainian counterattacks and a lack of reinforcements.

Habari Iko hivo, wapi wameconferm?. Muandishi alichoandika hana uhakika nacho ndio maana ya vitu kama it appears, "likely decided" au kiswahili nacho nitabu mkuu wangu?.
 
Waruhusu vyombo vya habari vya RUSSIA pia ili taarifa zibalansi kiuhalisia kuliko zitokee kwa maadui wa RUSSIA kama juzi mlivyoeneza taarifa bandia kuhusu kuzamishwa meli ya kivita ya RUSSIA ya pili mkiongozwa na mahaba niue wenu Birtanicca kumbe ni propaganda tupu.
.... kwani vyombo vya Russia vimekatazwa kutangaza?
 
Wanajeshi wa Ukraine wameukomboa mji mzima ambao Ni wa pili kwa ukubwa Nchini Humo wa Kharkiv baada ya Wanajeshi wa urusi kuukimbia mji huo. Vijiji vingi hasa mashamba yamejaa miili ya Raia na Wanajeshi wa Urusi.

Wakionekana wenye furaha kubwa kupita maelezo,Wanajeshi wa Ukraine wameishukuru Marekani kwa kuwapatia mafunzo na Silaha za kushambulia mbali Jambo lililowafanya kushambulia maeneo yaliyokwisha tekwa na majeshi ya Urusi na kuyafanya yaanze kukimbia miji iliyotekwa.

Wanajeshi hao wamekili kwamba,endapo wangelipata Silaha hizo tangu mwanzo,Basi Majeshi ya Urusi yangeliweza kuteka hata eneo moja la Ukraine.

Haya yanakuja huku Bunge la Senate la Marekani Kuuangusha mswada wa bajeti Mpya ya Kijeshi wa Marekali kwa ajili ya Ukraine. Msaada wa awali wa $ 3.6B umekwisha na hivyo Rais Biden aliliomba Bunge kupitisha kiasi Cha $ 33B kwa ajili ya msaada wa Kijeshi kwa Ukraine. Bunge la Congress lilipitisha kiasi Cha $ 40B kwa ajili ya Ukraine,lakini Bunge la Senate limeutupilia mbali mswaada huo wakitaka Tume uchunguze kwamba matumizi ya msaada wa awali baada ya Wabunge wa REPUBLICAN kupinga Sera ya Biden kwenye Vita vya Ukraine.

Wataalamu wanasema kwamba,Biden na chama Cha Democrat wamepitisha kiasi hicho Cha Pesa cha $ 40B ili Kama Chama Chao kikishidwa kwenye Uchaguzi wa Mwezi November wa Bunge Basi Msaada kwa Ukraine uwepo pale pale bila kutatizwa na WaRepublican ambao maoni yanaonesha yatayadhibiti mabunge yote ya Congress na Senate Jambo litakalo hatarisha uwepo wa msaada wa kijeshi kwa Ukraine. WaRepublican wengi wanapinga Matumizi makubwa ya Kijeshi ya Serikali ya Biden katika kupeleka Silaha Nchini Ukraine.

Institute for the Study of War says evidence suggests Russia moving to withdraw amid strong Ukrainian counteroffensive. Ukraine wins ‘Battle of Kharkiv’; More war crimes charges planned
Hatari sana hapo putin anajipanga kutumia nyukiria soon
 
... hawa jamaa nimewavulia kofia kwa hakika! Jeshi la Ukraine linatisha.

Cc: YEHODAYA, Glenn, Aleyn, Frank Wanjiru, et. al. njooni huku kuna habari mpya. Yale yasiyodhaniwa yamewezekana!
Toka jana na leo alfajiri nimeona kwa wingi habari kuwa Ukraine inakaribia kuukomboa Kharkiv. Naona sasa imekuwa tayari. Heshima kwao Ukraine, heshima kwake US, kweli huyu ndo super power.
 
somapo hata humo basi

Siyo kusoma tu na kuelewa ni muhimu pia. Inaonekana ndugu yetu unasoma tu bila kuelewa.

Kwenye hiyo ramani uliyoweka, mtoa/mchora ramani mwenyewe kwenye legends za ramani anatumia maneno " Claimed Ukrain counteroffensive" badala ya "Confirmed Ukrain counteroffensive"!

Hapo neno claimed linaonyesha hana uhakika na maelezo anayotoa. Upo? Umeelewa?
 
Mkuu mbona link uliyoweka na maelezo yako vinatofautiana juu ya kuukomboa huo mji?. Maana inaonekana kama taarifa haiko confirmed lakini wewe umeconferm kabisa , au uelewa wa maneno na usomaje wa maneno yenye funga semi na fungua semi maana yake haieleweki?. Mkuu wetu tueleze kwa uelewa wako haya maelezo wapi wameconferm wamekomboa?.

Ukraine appears to have ‘won the Battle of Kharkiv’: IOW​

The Institute for the Study of War (IOW) says it appears that Ukraine has “won the Battle of Kharkiv”, with evidence suggesting Russia has “likely decided” to withdraw fully from its positions around the city because of the strength of Ukrainian counterattacks and a lack of reinforcements.
Acha vumbi litulie,acha furaha yao ikiisha ukweli utajulikana tu
 
... safi sana! Wawaue safu safu popote pale waonekanapo japo tatizo lingine litaibuka - miji na vijiji vitajaa sana maiti za mavamizi ya kigeni! Italazimu kuingia gharama kuunda vikosi vya kusafisha miji na vijiji, kuchimba makaburi ya halaiki n.k.
Risiti za muamala lazima zirudi tuView attachment 2224068View attachment 2224069
Screenshot_20220514-090123.jpg

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Wanajeshi wa Ukraine wameukomboa mji mzima ambao Ni wa pili kwa ukubwa Nchini Humo wa Kharkiv baada ya Wanajeshi wa urusi kuukimbia mji huo. Vijiji vingi hasa mashamba yamejaa miili ya Raia na Wanajeshi wa Urusi.

Wakionekana wenye furaha kubwa kupita maelezo,Wanajeshi wa Ukraine wameishukuru Marekani kwa kuwapatia mafunzo na Silaha za kushambulia mbali Jambo lililowafanya kushambulia maeneo yaliyokwisha tekwa na majeshi ya Urusi na kuyafanya yaanze kukimbia miji iliyotekwa.

Wanajeshi hao wamekili kwamba,endapo wangelipata Silaha hizo tangu mwanzo,Basi Majeshi ya Urusi yangeliweza kuteka hata eneo moja la Ukraine.

Haya yanakuja huku Bunge la Senate la Marekani Kuuangusha mswada wa bajeti Mpya ya Kijeshi wa Marekali kwa ajili ya Ukraine. Msaada wa awali wa $ 3.6B umekwisha na hivyo Rais Biden aliliomba Bunge kupitisha kiasi Cha $ 33B kwa ajili ya msaada wa Kijeshi kwa Ukraine. Bunge la Congress lilipitisha kiasi Cha $ 40B kwa ajili ya Ukraine,lakini Bunge la Senate limeutupilia mbali mswaada huo wakitaka Tume uchunguze kwamba matumizi ya msaada wa awali baada ya Wabunge wa REPUBLICAN kupinga Sera ya Biden kwenye Vita vya Ukraine.

Wataalamu wanasema kwamba,Biden na chama Cha Democrat wamepitisha kiasi hicho Cha Pesa cha $ 40B ili Kama Chama Chao kikishidwa kwenye Uchaguzi wa Mwezi November wa Bunge Basi Msaada kwa Ukraine uwepo pale pale bila kutatizwa na WaRepublican ambao maoni yanaonesha yatayadhibiti mabunge yote ya Congress na Senate Jambo litakalo hatarisha uwepo wa msaada wa kijeshi kwa Ukraine. WaRepublican wengi wanapinga Matumizi makubwa ya Kijeshi ya Serikali ya Biden katika kupeleka Silaha Nchini Ukraine.

Institute for the Study of War says evidence suggests Russia moving to withdraw amid strong Ukrainian counteroffensive. Ukraine wins ‘Battle of Kharkiv’; More war crimes charges planned
Anayekwambia Republican watashinda labda kama hujaona Siasa za Sheria ya kutoa Mimba zinavyobadilisha upepo wa wapiga Kura GOP wanaenda kupigwa kipigo Cha umbwa koko
 
Back
Top Bottom