Majambazi wenye silaha wavamia kituo cha mafuta Nyamongo

Kinyengeli

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
452
142
Jana jioni muda wa saa 06:30 mjambazi wenye silaha za moto na mapanga wamevamia kituo cha mafuta kilichopo Nyamongo Tarime na kufaniukiwa kupora kiasi kidogo cha fedha kutoka kwa muhudumu wa kituo hicho bila kufanikiwa kupora fedha za kituo hicho!!!! Baada ya masaa mawili muda wa saa 2:00 usiku majambazi hao walivamia Bar ya Riziki iliyopo eneo la Mlwambe na kujeruhi watu watano na kuteka magari yaliyokuwa yakitoka Tarime kwenda Nyamongo, Majeruhi walikimbizwa hospitali ya wilaya Tarime hatimaye Bugando Mwanza kutokana na hali zao kuwa mbaya!!!!
 
Back
Top Bottom