Majambazi dar- moro?

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Ninasikiliza TIMES FM sasa hivi [ clouds nimewabwaga, matangazo mengi sana ], eti kuna majambazi barabara kuu ya Dar - Moro. Na kuna mwanamama mmoja aliuawa juzi na bendi ya Twangapepeta ilinusurika kutekwa pia.
Hivi inawezekanaje kwa barabara KUU kama hii kuwekewa magogo barabarani na kupora watu?
Wabunge na mawaziri si wanapita njia hii kwenda Dodoma? Kikwete hapiti njia hii kwenda Chalinze?
Njia hii tunaweza kusema ndiyo main artery ya nchi hii, yaani nashindwa kuelewa. Mambo mengine yanafanyika nchi ni very mind boggling unashindwa hata uanzie wapi kutafuta explanation.
 
chondechonde majambizi waporeni mafisadi na walevi wa madaraka
waacheni wananchi maskini,ibeni kwa hao wanatuibia rasilimali zetu mtakuwa 50/50
 
majambazi ndio wachangiaji wakubwa wa shughuli za kichama, usishangae kitu. Chama chetu cha mapindunduzi chajenga nchi
Bujibuji, kauli nzito sana hiyo ila uwe tayari kutoa ushahidi na vielelezo utakapodaiwa kufanya hivyo.....
 
Huyo dada tumemzika juzi makaburi ya kisutu...Mungu amlaze pema peponi. Amina
 
CHALINZE MORO balaa muhurizeni mama malechela pale maseyu anapafahamu sana hawezi kusau hadi anakufa. kuna tetesi. Eti walimkameroon. Ni kipindi kile cha maita jesh la polic moro liliamia pale walikamata hata kuku kuna watu wemefungwa hadi miaka 30. Malori yanatekwa sana . Kuna watu waitwa shusha shasha. Hawa jamaa wana uwezo mkubwa wa kulukia gari likiwa katika kasi . kulusha mawe . Kuweka magogo. Na kusukuma treka au gari bovu ktk ya njia. ikifika saa 12 magari hasa maroli huwa yanaongozana msururu kukwepa kutekwa eneo hatari zaidi kutoka mikese hadi ubena zomonzi. Polic wanajua ila wanakula ten pasenti wanajamii wenzangu kuweni makini mnaweza mkacamerooniwa hivihivi
 
Back
Top Bottom