DOKEZO Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aug 31, 2022
54
99
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.

Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.

Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.

IMG_20231106_214720_108.jpg
IMG_20231106_214716_054.jpg

=============

Barua ya Wazi kwa Waziri Mkuu kuhusu changamoto Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe

Shikamoo Baba yetu na Waziri Mkuu wetu kipenzi unayesikia na kujali.

Mimi ni Mwananchi wako kutoka Mbezi Mpigi Magoe, naomba tuonee huruma, huku Watoto wa Shule na Wananchi wako tunateseka sana na Barabara.

Kuna wakati Watoto wanafika Shule Saa 3 hadi saa 4 asubuhi kwa sababu ya changamoto ya barabara.

Hii barabara ni muhimu sana na ina wakazi wengi na viongozi, pia inatoka Mbezi Stand Kuu ya Magufuli inaenda hadi Bunju.

Ni barabara mbaya sana imeharibika, gari ikikwama mnaweza kaa hata saa kadhaa za kutosha hampiti. Ndio njia ambayo kama ikitengenezwa kwa lami Mabasi ya mikoa ya Kilimanjaro na Tanga yanapaswa kupita.

Tunaomba sema neno moja kwa ajili ya hii barabara hii maana tumedanganywa na kuahidiwa uongo vya kutosha.

Tumechoka Baba. Tusikie. Ahsante. Nikutakie majukumu mema Baba.

Soma RC wa Dar, Albert Chalamila atoa maelekezo barabara zijengwe usiku na mchana
 
Sijui wananchi wa Mpinji Magoe wamewakosea nini serikali ya CCM? barabara kwa ubaya inashika namba moja mkoa wa DSM, HALI NI YA HATARI SANA!!!!!! Kwa mguu , kwa gari , baiskeli, bajaj na bobaboda hali ni mbaya sana !!! sina hakika ila nasikia ndiyo bara bara pekee kwa dsm ina wanufaisha wakubwa na kwamba cheni ni ndefu... yaani imeanzia HAZINA MPKA MWENYEKITI WA MTAA, KILI BAADA YA MIEZI 6 WATU WANA PIGA MSHINDO NA KUGAWANA FEDHA,!!! BASI JAMANI INATOSHA !!!!
 
Ukija kivule utazimia
 
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.

Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.

Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.

View attachment 2806309View attachment 2806310
Mpigi ni nyoko kule nina viwanja ila siendi Wala sitajenja

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.

Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.

Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.

View attachment 2806309View attachment 2806310
Tulieni...tukianza kampeni za Serikali za Mitaaa tutawafikiria.
 
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.

Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.

Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.

View attachment 2806309View attachment 2806310
Barbara nyingi jijini ni mbovu mfano kibamba kwa mangi ukielekea kwa mpemba au mdidimua sijui hata kama manispaa wanajua
Mie binafsi hata sielewi diwani wa huko anamuwakilisha Nani.
Ningekuwa ni mapenzi yangu huyu diwani akija omba kura tena afukuzwe
 
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.

Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.

Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.

View attachment 2806309View attachment 2806310
Hamaaaaa
 
Mkuu sio nyie pekee yenu, na sisi wa kimara tuna malalamiko kama yenu. Barabara inayoanzia kimara mwisho kwenda bonyokwa ni mbovu sana. Mfano kwasasa gari hazipishani na kuna muda unaweza tumia masaa 2 hasa mida ya jioni.
 
Back
Top Bottom