Elections 2010 Majamaa majanja sana haya...

Dawa ni kujiuzulu kwa Slaa hakuna jingine na majeshi yaelekezwe kwengine itakuwa hapajaharibika kitu ,kwani kwa hili tayari Slaa ameshakuwa hafai na sio siri au kuwalaumu wengine ,Slaa ameonekana kwenye vyombo vya habari akijilabu kwa mke wa mtu mwengine ,hapa ameharibu kabisa ,hivi tuseme Slaa alimuokota tu huyu na hakumuuliza masuali masuali na kumhoji kwa undani ,je kama alitumwa kumharibia na ndio Slaa akavamia na sasa amenasa.


Mkuu Mwiba na wengineo humu jamvini! Mahimbo na Mkewe walisha achana MUDA MREFU SANA zaidi ya miaka 4 hivyo Josphine kama watu wengine wanahaki ya kuolewa na mtu mwingine ampendaye. Mahimbo ninamfahamu vilivyo so far anatumiwa na CCM kumharibia Dr.Slaa nizo ni mbinu za kisas tu hakuna jingine wale waliokaa sinza afrikasana kipindi cha nyuma mtakuwa manmfahamu wana ni jamaa moja chapombe ana alikuwa aishi kwa dada yake hadi alipo funga ndoa na Josphine wakahamia Mbezi ya kimara, Mahimbo alitafutiwa kazi bandari ili aweze kumtunza mkewe maana alikuwa hanakazi na ajira yake ni ile ya memo nenda kwa flani mwambie nimetumw ana flani ndipo akapata ajira bandarini. josphine ndie aliekuwa mchakarikaji kwenye familia yake amefanya kazi kwenye makambi ya wakimbizi UNCHR alikuwa na pesa nzuri alijitahidi sana kumrekebisah mumewe but ilishindikana maana jamaa pombe imemtawala na vimada kibao akipata hela tu hadi iishe ndio anarudi nyumbani.
Hata nduguze wanmchangaa alivyo ibuka kwenye TV kudai ameporwa mke kwani walisha tengani muda na kila mtu analifahamu hilo. Jiulizeni wenyewe miaka yote 4 alikuwa wapi aasidai ameporwa mke hadi kwenye kampeni ndio anakurupuka, Watamtumia kama Anjelina wa Mrema alivyofanywa kipindi kile halafu baada ya uchaguzi unasahaulika, najua mwanasheria wake anasoma humu nakushauri ongee vizuri na mteja wako muulize chanzo cha kutengana kwake na mkewe kilikuwa nini na walisha pelekana hata kanisani nenda Kijitonyama Lutherani fuatilia mgogoro wao ndipo ndoa ilipofungwa, fuatilia na mbezi lutherani utapewa taarifa zote then utajua kuwa nawe pia umeingizwa kwenye mkumbo wa kutumiwa kwenye siasa CHAFU!
 
Born Town ,mambo yapo mahakamani huo ushahidi wako hapa hautasadia kitu ,jamaa amejua ni wakati gani muafaka wa kutunga shabaha ,sasa kupata na kukosa kunategemea upepo tu ,halafu mambo ya mahakamani hata ikipita miaka mia ,wao hayawahusu.
 
Kusema kweli WaChadema mnatia huruma sana ,yaani ndio mnalitetea jibaba ?? :confused2:

Umesha pewa % ngapi kwenye zile 50bilioni maana mnapita na kuwadanganya maskini kwa wali na pombe ngumu dah!!
 
Wakati sisi tunapigana na UFISADI, Wazenji wanashangilia. Si unamuona MWIBA?

Kuna haja tulivunje li Muungano na Wazenji warudi kwenye Vibanda vyao walivyoacha Zenji.

Kwa hali ilivyo, sioni haja kwa huko mbeleni kuja kuwa na Rais kutoka Zanzibar.
Sikonge,ndio maana tunapigana kufa na kupona tuwaondoe CCM madarakani,hizi zote ni dalili za kushindwa tu,Dar es salaam yote imechafuka kwa mabango makubwa kwa madogo ya mgombea wa CCM,mpaka imekuwa kama kichekesho! Pamoja na nguvu kubwa inayotumika,this time HATUDANGANYIKI.
 
Back
Top Bottom