Maiti zazidi kuonekana maeneo ya Fumba, Zanzibar!

Ama kweli tunawabeba wasiobebeka humu!

Sometimes tuweke unafiki pembeni. Kwani waziri husika alikuwa wa CCM?

Hv nawe umekuja hapa na kauli ipi?
Eti waziri husika siyo wa ccm?????

Jamani naombeni mwenye jibu ampatie huyu kada dudu!
 
Naona mola kuna wakati anajuta kutupa all of these water bodies maana badala ya kuleta neema kwetu zaleta majanga!
Its time tutambue uwepo wa izi waterbodies na tujipange zidi ya majanga yanayoambatana na bahari na maziwa!
 
Ama kweli tunawabeba wasiobebeka humu!

Hv nawe umekuja hapa na kauli ipi?
Eti waziri husika siyo wa ccm?????

Jamani naombeni mwenye jibu ampatie huyu kada dudu!

LiverpoolFC,

..waziri alitokana na chama cha CUF.

..ZNZ kuna serikali ya umoja wa kitaifa kwa hiyo lawama hapo wagawane CUF na CCM.
 
LiverpoolFC,

..waziri alitokana na chama cha CUF.

..ZNZ kuna serikali ya umoja wa kitaifa kwa hiyo lawama hapo wagawane CUF na CCM.

Lakini kwangu wa kupewa lawama ni serikali tawala,na hapo Zanzibar serikali iliyoshika mpini ni ya mafisadi ccm!
Lawama yote ya Ndg zetu waliopoteza maisha na bado kuonekana kuelea juu ya maji tunaiangushia ccm tu!

ccm ni JANGA kwa Taifa letu Ndg zangu!
 
..Znz kuna serikali ya umoja wa kitaifa iliyoundwa na vyama vya CUF na CCM.

..CUF ndiyo waliotoa waziri aliyezembea, ambaye chini ya uangalizi wake meli 2 zimezama ndani kipindi cha mwaka mmoja.

..vyama vyote vinastahili lawama ktk janga hili. pale penye mafanikio vyama vyote vitastahili pongezi.
 
JokaKuu!

Piga kimya wadau waje,kwani Mi binafsi nisingetaka hata nisikie mambo ya CUF kwani wale ni bendera tu! Wanafuata upepo!

Bila shaka wadau muda huu wengi wamereset na wakidamka tutapata mwongozo mzuri!

Uwe na wakati mzuri!

LiverpoolFC,

..Znz kuna serikali ya umoja wa kitaifa iliyoundwa na vyama vya CUF na CCM.

..CUF ndiyo waliotoa waziri aliyezembea, ambaye chini ya uangalizi wake meli 2 zimezama ndani kipindi cha mwaka mmoja.

..vyama vyote vinastahili lawama ktk janga hili. pale penye mafanikio vyama vyote vitastahili pongezi.
 
Boti ya Spice Islander kuna maiti wengi hawakupatina, na boti hii nayo kuna maiti hawakupatikana. Tukumbuke sio kila abiria alikuwa ametoa taarifa kwa familia kuwa anasafiri. Kwa hiyo kuna watu watakuwa hawajui kama ndugu zao walikuwa kwenye hizo boti au la.

La muhimu, serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya Muungano (lakini hasa serikali ya Zanzibar) waandae utaratibu wa kufanya ibada/swala mahali boti hizi mbili zilipotea, na hii ni kwa heshma wote waliopoteza maisha lakini hawakupatikana. Symbolically unakuwa umefunga chapter lakini pia unakuwa umewapa somesort of burial wale ambao hawakupatikana. Hii huwa inafanywa na mataifa mengi hata kwa hao wazungu ambao tunadhani hawana tamaduni. Kuacha mambo hivi hivi ni sawa na kuwatelekeza na tusishangae mikasa ya boti ikawa inatuandamana.
 
Boti ya Spice Islander kuna maiti wengi hawakupatina, na boti hii nayo kuna maiti hawakupatikana. Tukumbuke sio kila abiria alikuwa ametoa taarifa kwa familia kuwa anasafiri. Kwa hiyo kuna watu watakuwa hawajui kama ndugu zao walikuwa kwenye hizo boti au la.

La muhimu, serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya Muungano (lakini hasa serikali ya Zanzibar) waandae utaratibu wa kufanya ibada/swala mahali boti hizi mbili zilipotea, na hii ni kwa heshma wote waliopoteza maisha lakini hawakupatikana. Symbolically unakuwa umefunga chapter lakini pia unakuwa umewa somesort of burial wale ambao hawakupatikana. Hii huwa inafanywa ni mataifa mengi hata kwa hao wazungu ambao tunadhani hawana tamaduni. Kuacha mambo hivi hivi ni sawa na kuwateleza na tusishangae mikasa ya boti ikawa inatuandamana.

Mkubwa!
Umenena vyema kwa jinsi nilivyokuelewa Mi binafsi!
Tatizo sasa lipo hapo kwenye uongozi shirikishi.
Kwa mfano kwenye ile ajali ya juzi tukiacha ile ya mwaka jana kuna kuna dogo mmoja wa hapa A town kapoteza maisha ktk janga hilo na alikuwa hajaaga kbs tena kwao ni hapa kwa Iddi madukani kama unaelekea Ngaramtoni kwa wale wanaoijua A town vema.

Yani kama ni kupoteza Ndg,jamaa na hata marafiki ni hakika tumewapoteza na ni muhimu ibada pale ifanyike.

NAUNGA MKONO HOJA!
 
Back
Top Bottom